wachache wataweza fatiria comic kutokana na kutowekwa kwenye Pdf na wabongo wavivu kudownload program zenye kuaccess comic zao!..Mie ni mshabiki wa Marvel. Nimeangalia movie zote za Marvel Cinematic Universe mpaka movie ya mwisho ambayo Ant-man and the Wasp. Nimeangalia Universe ingine ya kina Xmen nadhani nimeangalia zote. Nna comics kadhaa marvel.
DC watasubiri sana kwa marvel
Kama vile ushaiangalia Infinity War 2 mkuu!!..Ishaleak hata chafu nini mwakani mbali.Ila nyie Thanos anapiga, shaaah shaaah!
ππππHahaha,Kama vile ushaiangalia Infinity War 2 mkuu!!..Ishaleak hata chafu nini mwakani mbali.
Kwani X men ni Dc siku uz au vepeeNazitabiria mafanikio DC movies hizi:
- Shazam
- Back Adam
- Aqua man
- Joker: the origin
- X men : Dark phoenix
Huku kwa MCU wenyewe hawana hofu soko lao tayari lipo stable!.
[emoji23][emoji23][emoji23]ππππHahaha,
Yule njemba anatoa chai mazeee!
Aligongwa ngumu moja ya shingo hadi akasinyaaa![emoji23][emoji23][emoji23]
Hulk hawezi msahau!
My bad!. niliziweka kwa pamoja X-men ni Sony project!.Kwani X men ni Dc siku uz au vepee
Marvel Cinematic Universe kabla haijaundwa ilikuwa inagawa rights kwa makampuni mengine kutumua comic zake ndio kama hao Sony & Fox. Lakini kwa vile waliingia mkataba hawawezi wakawatumia ni mpaka wakubaliane tena kuwarudisha comic wao, ndio kama hapo wanakubaliana wamrudishe Logan MCU.Wolverine je?
Daaaah kumbe hua wanachoka kuigiza. mm nataka muendelezo wa X-Apocalypce nimwone process Na magneto watakua vipi. Na yule do go mwnye kugandisha mudaMarvel Cinematic Universe kabla haijaundwa ilikuwa inagawa rights kwa makampuni mengine kutumua comic zake ndio kama hao Sony & Fox. Lakini kwa vile waliingia mkataba hawawezi wakawatumia ni mpaka wakubaliane tena kuwarudisha comic wao, ndio kama hapo wanakubaliana wamrudishe Logan MCU.
Ila hugh jackman yeye kashachoka kuigiza Logan ndio ikawekwa kama kafa kwenye hii movie yake ya mwisho, wakati huo Deadpool anamtafuta sana Logan wapigane π, ndio unaona ukiingia tweet za Hugh na Ryan kuna kamvutano!. Kuna interview flani Logan kasema Deadpool ni brand isitake kumtumia Logan kujipandisha zaid!.
Maybe Logan atafanyiwa reboot soon ila sio huyu jamaa tena kuziigiza, labda waendelee na X-23 yule dogo!.
Ingawa Tony nae anasema ni fans wake ndio wanamfanya aendelee lakini kashachoka Iron man.

Hao wasubiri mwakani kwenye X-men: Dark Phoenix ila nahisi watatokea na kwenye X-men: New Mutant baadhi yao!.Daaaah kumbe hua wanachoka kuigiza. mm nataka muendelezo wa X-Apocalypce nimwone process Na magneto watakua vipi. Na yule do go mwnye kugandisha muda
Kama Professor X aliweza uliwa na Jean Grey kwenye Last Stand unadhani kuna character more powerful aliyetokea hadi sasa kumpiga Dark Phoenix!?..Kiongozii Namuelewa sana Doctor Strange nadhan anaweza kuwapiga wrote wale
Haka kashkaji sikapendi kabisa Na hiyo sura yake sasa. Nampenda pale kalivyo mkwepesha lile jitu hafu akakata gari kwa vidole. Mbona Process mm sijaona uwezo wake kwenye Apocalypse. Ila doctor mtamu sana action zakeKama Professor X aliweza uliwa na Jean Grey kwenye Last Stand unadhani kuna character more powerful aliyetokea hadi sasa kumpiga Dark Phoenix!?..
Doctor Strange ni magician tu, anabend muda na trickery hana nguvu kuwapiga mutants!. Kipimo cha Doctor Strange hiki π
View attachment 873366
Apocalypse ni powerful sana unaona alivyowasumbua pamoja na Cerebro ya Professor X lakini bado akaihack!.. Ile kofia Professor X anayovaa si mchezo ili kuitumia inakubidi uwe noma, lakini jamaa akaihack na kumgeuza Professor cerebro sasa!..Haka kashkaji sikapendi kabisa Na hiyo sura yake sasa. Nampenda pale kalivyo mkwepesha lile jitu hafu akakata gari kwa vidole. Mbona Process mm sijaona uwezo wake kwenye Apocalypse. Ila doctor mtamu sana action zake
Thor ni hatari πππ πDr strange ni mojawapo wa powerful character kutoka mcu