Zi upload kama utaweza tuzipate.Mie ni mshabiki wa Marvel. Nimeangalia movie zote za Marvel Cinematic Universe mpaka movie ya mwisho ambayo Ant-man and the Wasp. Nimeangalia Universe ingine ya kina Xmen nadhani nimeangalia zote. Nna comics kadhaa marvel.
DC watasubiri sana kwa marvel
DC kwenye Animations, Story line na Villains nadhani Marvel wanakaa sana.Mie ni mshabiki wa Marvel. Nimeangalia movie zote za Marvel Cinematic Universe mpaka movie ya mwisho ambayo Ant-man and the Wasp. Nimeangalia Universe ingine ya kina Xmen nadhani nimeangalia zote. Nna comics kadhaa marvel.
DC watasubiri sana kwa marvel
Aaah ile movie sijaipenda kabisaa.Justice league Imetulia.
Atakuwa anazungumzia kwenye torrent. Cinema imetoka muda mreefu. Sasa ivi inaoneshwa antman and the waspItoke mara ngapi mkuu?
😀😀😀 Pipo zinasubiri Yify bwana.I
Atakuwa anazungumzia kwenye torrent. Cinema imetoka muda mreefu. Sasa ivi inaoneshwa antman and the wasp
Da'Vinci bwana,Zi upload kama utaweza tuzipate.
Tafuta CBR reader kisha uzishushe tu bwana.😀😀😀😀
Nilimaanisha kama ana hizo Comics book in Pdf format azipakie hapa.
Au nimekosea tena boss..
Ngoja nitamuuliza bwana mdogo akitoka shule huwa anatumia mtandao gani kushusha.🙂🙂🙂🙂
Tatizo nakua sijui sites mkuu. Ahsante kwa kunielekeza.
Aisee hata sijuia maana mimi hizo nimeangalia kwenye VHS na DVD mzee!🙁🙁🙁
Nataka niangalie Muvi zote toka mwaka 2000 mpaka leo hii. Kutoka hollywood nifanyeje?
wanamuhusudu sana.Aaah ile movie sijaipenda kabisaa.
Yaani SuperMan yuko Over ratted sana.
Sasa chukua Ghetto na Game Night ucheke!..Katibu mimi naangalia sana comedy, horror movies, thrillers, sports drama, mystery, action (lakini ziwe na sababu).
Shades of grey niliichukua kwa mshkaji halafu hata kuiangalia nikaona uvivu nikaifuta.
Badala yake nikaja kuangalia Shades of Black.
Mpaka nikaiangalie hii aseh!!..Nami nimeona Treiler yake Itakua tamuu balaa yupo na kadada hivi kanaruka kama nzi
Baada ya kumaliza act tu jamaa akafariki, na ndio amemueka Joker kuheshimika!.. Ila huyu wa sasa ni kama haitendei nafasi yake unless tuisubiri hiyo movie yake!.. DCU wanaifanyia reboot Universe yao!.Heath ledger (Joker) wa Batman Dark Knight hivi kweli alishavuta waya?
Kuna muda zinakuwa majanga bajeti walotengeneza na walichopata ni kidogo!.. Au tofauti na makadirio yao!!..Wao mafanikio ni hela tu.
Na lazima watazipata.
Daaa maskini. Ila jamaa anajua sana aliitendea haki muvi aisee. Ngoja tuisubiri.Baada ya kumaliza act tu jamaa akafariki, na ndio amemueka Joker kuheshimika!.. Ila huyu wa sasa ni kama haitendei nafasi yake unless tuisubiri hiyo movie yake!.. DCU wanaifanyia reboot Universe yao!.