mwenyekiti we type yako angalia Jason's Lyrics, Lie to me, Shades of Grey zile dakika 2 wanashikana viungo!..Hizi movies sipendi kitu kimoja. One way or another lazima watatafuta sababu ya kupump a new movie.
Mfano Batman vs Superman antagonist ni kitu ambacho hakifi (too much green screen), hadi wonder woman akaingilia kati. Mwisho wa show eti Superman akajitoa sadaka.
Siku ya kuzikwa tunaashiriwa kua hakufa. Soon muvi ya Wonder Woman ikatoka.
Spiderman akaonekana kwenye infinity war kisha baada ya pale ikatoka Homecoming. Yaani wamefocus kwenye hela kuliko kumfanya mtazamaji akae chini areflect alichokiona.
Naitamani hiyo antman jamani,mi napenda hizo movie kinyamaDeadpool ni mwisho wa maelezo!!... Iangalie na sauti yake halisi mzee utacheka sana!, Nimepita mjini leo naona Ant-man inatangazwa ngoja nifatirie ratiba yake Cinemax.
Twende kuicheki Aura mall basi!..Naitamani hiyo antman jamani,mi napenda hizo movie kinyama
Katibu mimi naangalia sana comedy, horror movies, thrillers, sports drama, mystery, action (lakini ziwe na sababu).mwenyekiti we type yako angalia Jason's Lyrics, Lie to me, Shades of Grey zile dakika 2 wanashikana viungo!..
Ila kama unataka thrill angalia Cloverfield paradox, Life, Prometheus, Gravity hivi.
X Apocalypse imejaa uwongo na edit tuuu kama Animation vile. Sijaipenda..mi ni shabiki wa super Man ila sivutiwi kabis na namn superman wa sahizi alivyo ..mpaka sahizi sijaona wa kumfikia marehemu christopher reeve kwenye hiyo role
Nami nimeona Treiler yake Itakua tamuu balaa yupo na kadada hivi kanaruka kama nziDeadpool ni mwisho wa maelezo!!... Iangalie na sauti yake halisi mzee utacheka sana!, Nimepita mjini leo naona Ant-man inatangazwa ngoja nifatirie ratiba yake Cinemax.
πππKatibu mimi naangalia sana comedy, horror movies, thrillers, sports drama, mystery, action (lakini ziwe na sababu).
Shades of grey niliichukua kwa mshkaji halafu hata kuiangalia nikaona uvivu nikaifuta.
Badala yake nikaja kuangalia Shades of Black.
Heath ledger (Joker) wa Batman Dark Knight hivi kweli alishavuta waya?Nazitabiria mafanikio DC movies hizi:
- Shazam
- Back Adam
- Aqua man
- Joker: the origin
- X men : Dark phoenix
Huku kwa MCU wenyewe hawana hofu soko lao tayari lipo stable!.
Wao mafanikio ni hela tu.Nazitabiria mafanikio DC movies hizi:
- Shazam
- Back Adam
- Aqua man
- Joker: the origin
- X men : Dark phoenix
Huku kwa MCU wenyewe hawana hofu soko lao tayari lipo stable!.
Nazitabiria mafanikio DC movies hizi:
- Shazam
- Back Adam
- Aqua man
- Joker: the origin
- X men : Dark phoenix
Huku kwa MCU wenyewe hawana hofu soko lao tayari lipo stable!.