Duu tatizo mimi nikinunua PC sikai nayo sana mwezi wa sita tu nilinunua nikauza hata mwezi ujaisha mpaka sasa nishanunua na kuuza kama 5 nakuwa na mipango mingi.

Naam wataonyesha. Japo kwenye Winter soldier walionyesha jinsi alivyoanza huko.
Mimi nina hakika Time travel itamrudisha Tony. Maana ndio wametuonyesha jinsi inavyofanya kazi..Tony pia si atakuwemo kwenye black widow
Halafu nilikua sijagundua. Kumbe kwenye Far from home alikua Talos na mkewe wamejibadir kua nick furry...
Halafu nick furry yupo zake angani huko anakula good time

Ndio tony atakuwemo yule wa civil war, hizo nyingine zitakuwa kama hadithi za natasha za maisha yake ya nyuma pamoja na maisha yake baada ya civil war,
Ila wakiwarudisha hawa marehemu wote itakua vizuri, japo wataanzisha timeline nyingine.