Is your idiot brain get fuccked by stupid!!!?
Yaani hii Series hainichoshi kabisa, umeanza S1? Leo inatoka S3Ep 6 naisubiria itoke niipakue. Butcher mshenzi sana kila mtu anamwita Cunt😅😅 uliona kimiko alivyoua watu kwa kutumia Dildo???
Hii Series tamu sana yaani hua nacheka sana
View attachment 2270328