Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
"You mess with time, it tends to mess back."Hey y'all...[emoji112]
Hii ndio Theory yangu ya mwisho kuhusu muvi hii ya MoM, nitaelezea kadri ya nilivyotazama series zilizopita na kuzielewa. Tafadhali kama hujatazama hii muvi hakikisha umetazama na Series ya Loki, WandaVision, What if...?? Kisha muvi ya No way home.
Autobots let's roll...
(Kwanza kabisa kwa ambao hawana Elimu ya masuala ya muda kama Space-time, Theory of relativity ningependa mpitie baadhi ya nyuzi zangu za zamani nimeandika sana kuhusu maswala ya Time Wrapping/Bending na effects zake)
Wote mmetazama series ya loki, Baada ya Sylvie kumuua who he reamain alisababisha Kuharibika kwa timeline ambayoTVA hawawezi kuirekebisha tena (Nexus event).
Mind you Loki ipo out of time Since tva is timeless yanayofanyika kule ndio yanaweza kuleta madhara kwenye actual timeline za multiverse mbalimbali.
Moja ya sheria ya Time ni kua ukibadirisha kitu kilichotakiwa kutokea kwenye timeline fulani basi mambo yote hua yanaharibika hivyoTukio la sylvie kumua kang lilisabisha Nexus event. Kwakua mambo yameharibika kwenye timeline ndio tunakuja kuona kwenye Series ya what if...??
Baada ya kusababisha Nexus Event Matukio yanabadirika kama tulivyoona kwenye seriess ya what if. Mfano badala ya Steve Roger kupata Super Solder Serum anapata Peggy Carter na kua Captain Carter, Badala ya Steve strange kupata ajali na kuharibika mikono...anapata Rachel na kufariki jambo linalopelekea Steve kua Strange Supreme and so more...
So kwenye muvi ya Multiverse of madness baada ya Doctor strange kukosea kufanya Spell na kusababisha watu kutoka kwenye dunia nyingine (Multiverse) kuanza kumfuata kama tulivyoona kwenye muvi ya Spiderman No way home. Spell ile ilisababisha pia kuleta watu wengine wanaomfahamu doctor strange kutoka multiverse tofauti ndio hapo sasa Character wa kutoka kwenye What if kama vile Captain Carter na Strange Supreme, Zombie strange wanatokea.
Sio hivyo tu kwakua multiverse ipo wazi watu kutoka dunia nyingine wanakuja ndio hapo sasa Character kutoka Fox Century kama vile Professor X wanaingia MCU.
Ngoja niishie hapa nisiwaharibie uhondo.
Mind you, haya ni mawazo yangu na nina hakika yapo sahihi.
.
Ngoja tuone May 6th itakuaje.
I can't wait I can't wait
(In General Alladeen voice
Kwani Charles Xavier bado yupo hai??
Keyword = Multverse
"You mess with time, it tends to mess back."
Tony Stark, Avenger endgame
Ndio umegundua leo?? Hukuona viclip vya nyuma walivyokua wanapost Marvel Studios? Mimi nimemuona Charlize theron akiwa kama Clea.Nimeona end credit scenes ya strange
Itakuua hatari
Strange Ana macho matatu
Nadhani DS3 tutakuwa na dormamu
Mate, sorry kwa kuchelewa kukujibu nilikua nasubiri Ep6 itoke kwanza. Ila sitakuhadithia from Ep 1Huku mwishoni sijaelewa yani episode ya 5
Angalia zote ila anza na LOKI. Series ya Loki itakufungulia uelewa kwenye WHAT IF.Msaada lads, kati ya what if na Loki niangalie ipi? Maana kuna vitu navimiss kabisa mcu kama miendelezo inazidi kutoka hivyo.
Umeshaiangalia mkuu??Y'all I'm sooooooooooo disappointed.
I can't believe, I won't spoil it for you but The whole movie is about Wanda😢😢😢
View attachment 2211804
Movie ishakuwa spoiled kitambo nikiingia YouTube nakutana na cutscenes mbalimbaliUmeshaiangalia mkuu??
wow, that's really bad!Movie ishakuwa spoiled kitambo nikiingia YouTube nakutana na cutscenes mbalimbali
Nieleweshe hapo kwenye Marc alimtengeneza vipi Steve??? Na ikawaje huyu akawa M british anaendesha maisha yake mbali na mwingie M Marekani anaendesha maisha yake kwingine kama walikua ni mwili mmoja???Mate, sorry kwa kuchelewa kukujibu nilikua nasubiri Ep6 itoke kwanza. Ila sitakuhadithia from Ep 1
Ipo hivi
Baada ya Marc kupigwa risasi ep4 akadumbukia kwenye maji alijikuta yupo kwenye eneo la kufikirika ambapo yeye inaonekana ni mgonjwa wa hospital. Sasa katika juhudi za kutoroka ndio akagundua kwamba Marc na Steve wapo katika miili tofauti kama mapacha wakakumbatiana baadae akatokea yule kiboko Tawareet Ep 4 ikaisha.
Ep 5 ikagundulika ile hospital walimo ni boat ambayo ipo kuzimu inawasafirisha kwenda kwenye geti la Osrisi ambapo huko wanapimwa mioyo yao kutokana na matendo yao ili kama muzani ukibalnce waende Peponi(Field of Reeds) lakini muzani haubalansi kwakua kuna kumbukumbu kati yao hazipo sawa. Ndio pale tunaona sasa wakiwa wadogo.
Marc akiwa mdogo alikua anateswa na mama yake ajili ya mateso hayo bila kujua akamtengeneza Steve. So steve alikua hateswi na mama yake ili Marc ndio alikua anateswa ndio maana alikua anampigia simu mara nyingi japo alikua kashakufa. (Steve alikua anajua mama yake ni mzuri coz kila mama yake akitaka kumpiga marc alikua anachukua Control ya mwili anapigwa yeye)
So katika harakati za kuingia Peponi Steve anaangukia Kwenye eneo la wafu/kuzimu anabadirika kua mchanga hakafu marc anafanikiwa kuingia Peponi.
Ep6 Steve aliokolewa, well I don't want to spoil it for you. Utatazama. Kama hujaelewa pia uliza
Kwl mm mwenyw apa nashindwa kuelewaNieleweshe hapo kwenye Marc alimtengeneza vipi Steve??? Na ikawaje huyu akawa M british anaendesha maisha yake mbali na mwingie M Marekani anaendesha maisha yake kwingine kama walikua ni mwili mmoja???
Hapo kiukweli wamenichanganya sana tho nimeangalia episodes zote
Duuuh ntajitahidi siku moja niende hapo Aura nikajionee mwenyewe mmepamwagia misifa Duuuh maana me chaka langu ni MC.Aura Mall ndio chaka langu pendwa kwanza ni karibu na kwangu (naishi Kigamboni)
Pametulia hakuna population sana, screen yake iko curved kweli, wahudumu wapo friendly also na bei zake zimepoa,
Mcity, population sana, movie ya wakubwa watu wanaingia hadi na watoto wadogo hakuna angalizo,
Kwa kua watu ni wengi basi unakuta wengine wanaongea ongea wanahamisha concentration, uchokozi hii ilinikuta nilienda kuangalia unchanted natoa simu nijibu text mtu nyuma yangu kanivuta "excuse me, mwanga wa simu unaniumiza" i was like "WTH!"
Wakati Aura unaweza hata kurecord baadhi ya vipande ili uweke status uwahamasishe wasioenda
waende [emoji23]
Mcity bei zao zimechangamka.
Ndio maana nimekataa kutumia YouTube hii week hata nikikuta final trailer siangaliii maana hizo final trailers haziishi.Movie ishakuwa spoiled kitambo nikiingia YouTube nakutana na cutscenes mbalimbali
Marc anaugonjwa wa akili, unaitwa dissociative identity disorder. Ilikuwaje akawa nao,Nieleweshe hapo kwenye Marc alimtengeneza vipi Steve??? Na ikawaje huyu akawa M british anaendesha maisha yake mbali na mwingie M Marekani anaendesha maisha yake kwingine kama walikua ni mwili mmoja???
Hapo kiukweli wamenichanganya sana tho nimeangalia episodes zote
Sawa nimekuelewa pia hii kwa kibinadamu inawezekana au ni movie tu, mfano hivyo alivyokuwa anajibadirisha mara kuwa marc mara steve
Nieleweshe hapo kwenye Marc alimtengeneza vipi Steve??? Na ikawaje huyu akawa M british anaendesha maisha yake mbali na mwingie M Marekani anaendesha maisha yake kwingine kama walikua ni mwili mmoja???
Hapo kiukweli wamenichanganya sana tho nimeangalia episodes zote
Kwl mm mwenyw apa nashindwa kuelewa