Sio kwamba Thor hudanganya kwa ujinga bali anampenda sana mdogo wake.. Hata akitenda vipi bado anampenda. Hapo ndioo loki anapo manipulate akili ya kaka yake
Nanunua kwa waliozipakua.. mm naona kukaa nasubiria muvi imalize kupakua nachelewa. Nikitoka mishe napitia kwa jamaa atudio kwake hakosi muvi. Ananifanyia singo muvi moja kwa buku na Complete season buku mbili

Fanya kuinstall bitcomet,
Alafu Ingia yts.com humo zote Ni hd,
Ukishachagua unayotaka,
Bofya download,ukishabofya download utaona alama ya magnet bofya kwenye magnet, hiyo bitcomet itadaka fasta mzigo unaanza kushuka,
Huwa nadownload muvi hata tisa,
Bando la 10gb saa6 mpaka 12asubuhi.
Kingine kuhusu hulk naona nguvu zake kama si kama zamani walivyokuwa separated na professor bunner saivi zimepunguzwa sana sijui kwanini marvel wamefanya hivyo!?