asaidiwe huyu mtu mm sion hata pa kuanzia... msipite tu
Kwanza ni kweli kabisa hao Character wote walikufa kwenye hizo muvi za za mwanzo kasoro Mmoja tu ambae ni Flint Marco/SandMan kwenye Spiderman 3 hakufa.Asee ebu mnieleweshe hapa kwa Spider Man no way home, wale jamaa waliokuja kutoka sijui wapi si katika movie wamekufa mfano yule mwenye machuma ya miguu alifia kwenye maji, na huyu mwenye kigari kinachopaa aligongwa na hicho kigari kilikuwa na mikuki sijui, sasa humu wazima imekuwaje
Aah sawa nimeshakupata nimeelewa vizuri sana, pengine sehemu ya mwisho Spider-Man anaenda kwenye ule mgahawa wa yule demu wake harafu yani sijui wamemsahau kila mtu pia akaenda kupanga na chumba harafu kwenye kutoka usiku alivaa mavazi mengine ya Spiderman harafu kama akawa yupo alone hivi na huko mwishoni sijaelewaKwanza ni kweli kabisa hao Character wote walikufa kwenye hizo muvi za za mwanzo kasoro Mmoja tu ambae ni Flint Marco/SandMan kwenye Spiderman 3 hakufa.
Sasa ipo hivi!
Baada ya spell ya Doctor Strange kwenda vibaya kilichotokea ni kwamba kila adui wa spiderman kutoka version mbalimbali aliitwa pamoja na Spiderman wake ndio maana walitokea Venom,Goblin na Doc Ock pia kwa version nyingine walitokea Lizard na Electro.
Logic ni kwamba haijalishi walikufa au hawakufa ila ilimradi walikua ni adui wa spiderman kutoka version mbalimbali.
Lakini pia kwa mujibu wa muvi inaonyesha kwamba walitokea kwenye No way home kabla kule kwenye dunia yao hawajauawa ndio maana Peter wa sasa alikua anapambana na doctor strange kuwatibu matatizo yao ili wakirudi dunia yao waiuawe na Spiderman lakini Doctor Strange alikua anamwambia it's their fate kwamba lazima wauawe na Spiderman.
Mfano rahis kama umeona series ya Loki, huku kwenye Endgame alikufa. Lakini kwenye series yupo maana alitoka timeline moja na kwenda nyingine ambapo huko alikua hai na mpaka leo atakua hai
Kuna msukumo mkubwa sana wa kisiasa USA, UK na nchi nyingine za wazungu kwa sasa kuhusu namna gani jamii inapaswa kuishi.Hebu twende mbele turudi nyuma. Nini maoni yako kwenye movie ya Eternals. Naona inafanya si vizuri sana kama ilivyotegemewa. Nini shida ??
Kuna msukumo mkubwa sana wa kisiasa USA na UK nchi nyingine za wazungu kwa sasa.
Kuna hawa watu wa mlengo wa kushoto walio kwenye madaraka kwa sasa wanafanya harakati fulani hivi ambazo zenye jina woke movement.
Movement hii inahusu masuala yote ya BLM pamoja na kujumuishwa kwa watu aina mbalimbali ethnic diversity katika siasa, makampuni, uigizaji filamu, walemavu, LGBTQ+ ambapo kwa sasa wanasema gender fluidity ambapo imepelekea kuzitambua jinsia zaidi ya ishirini n. k.
Sasa kama utakua mfuatiliaji mzuri wa Hollywood utagundua kuwa kuna filamu nyingi wanaingiza cast za blacks sana, mashoga na wanawake kwa sana. Hii imepelekea hata filamu za nyuma ambazo waliigiza wanaume wazifanyie re-make ya all female cast kama expandables na zingine kadhaa ambazo bahati mbaya nimesahau majina. Captain America yenyewe kuna uwezekano mkubwa waigizaji wakuu wakawa wanawake.
Sasa kinachofanya movie hizo tajwa hapo juu kufanya vibaya ni watu kulalamika kwamba hii gender swap inafanya kufurahisha wanasiasa wa kiliberali bila kuwa na origanality ya jinsia husika katika filamu fulani.
Hizo ndio baadhi ya sababu zilizopelekea kushindwa kwa eternals katika box office. Kutokana na baadhi ya scenes kutokidhi values za baadhi ya nchi ilipelekea kupigwa ban nchi kadhaa za kiarabu (waliambiwa wafute baadhi ya scenes wakagoma) kama kuwait, Qatar, Saudi Arabia n. k. Lakini pigo kubwa ni kulikosa soko la China ambalo kwa sasa ni kubwa kwa box office kuliko la USA.
Aah sawa nimeshakupata nimeelewa vizuri sana, pengine sehemu ya mwisho Spider-Man anaenda kwenye ule mgahawa wa yule demu wake harafu yani sijui wamemsahau kila mtu pia akaenda kupanga na chumba harafu kwenye kutoka usiku alivaa mavazi mengine ya Spiderman harafu kama akawa yupo alone hivi na huko mwishoni sijaelewa
Yap ni mbovu kwa sababu nguvu kubwa waliweka kwenye representation ya watu aina tofauti kuliko kuliko content.hiyo sababu uliyoielezea ni sawa sana, ila kingine ulichosahau kusema kuwa Movie ni mbovu tu in general
Hebu twende mbele turudi nyuma. Nini maoni yako kwenye movie ya Eternals. Naona inafanya si vizuri sana kama ilivyotegemewa. Nini shida ??
Mwezi March View attachment 2083228
Ile movie ilikuwa nzuri sana.
Mlitazama Trailer ya Moonknight??Kama ni shabiki wa MCU angalia tu ila usitegemee makubwa
Movie ni nzuri sana niMlitazama Trailer ya Moonknight??
Niliitazama ila haikunipa hype kama nilivyotarajia ukizingatia pia wameipeleka mbaaali March 30.
Nampenda zaidi moon knight wa kwenye comics version ningependa awe hivo pia kwenye series. Kwanza huyu jamaa Marv Spector ana matatizo ya akili (Dissociative Identity disorder) napenda mambo yanayohusu mental breakdown.
Kutokana na ugonjwa wake wa akili hua anafanya mambo ya ajabu kweli ambayo hakuna superhero mwingine anaweza kufanya labda kidogo Deadpool.
Kwa mfano hua anavaa nguo nyeupe ili maadui wake wamuone vizuri akiwa anawajia Batman yeye huvaa nguo nyeusi ili asionekane.
Ukimpiga ukamzidi anaweza kukuacha umpige mpaka uvunje mkono au uteuke. Taskmaster hua haCopy mapigano ya Moonknight kwasababu hua anaweza ukampiga ngumi halafu asiikwepe. Yaani ni gaidi fulani hivi asiyejielewa.
Btw naona moja ya actor Aliyeigiza character ya Midnight man kwenye hii series kafariki juzi 19Jan kwa ajali. RIP
Sleep walking not workingMovie ni nzuri sana ni
Fantansy
Mungu wa mwezi ..Egyptian God of moon khonshu anamtumia jamaa kama vessels kupigana na mythical creatures kwakua jamaa ana Dissociative identity disorder anakuwa na multiple personality hivyo anakuwa dangerous
Na matendo anayofanya hajui anajikuta tu ameshtuka sehemu that why kwenye trailer unaoa anasema nahisi ninaanza kuchanganyikiwa siwezi kutofautisha nikiwa nimelala na kuamka that's why Kuna scene amejifunga mguuni kwenye kitanda maana mwanzo alikuwa anajua ni sleep working
Na khonshu kwenye scene anaonekana na pia hii movie Ina introduce dark side of marvel zikifuatiwa na Dr strange multiverse of madness , Blade ,etc
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Movie ya eternals ni nzuri kwa upande wangu na ime expand marvel cinematic universe imeonyesha how universe started at some pointHebu twende mbele turudi nyuma. Nini maoni yako kwenye movie ya Eternals. Naona inafanya si vizuri sana kama ilivyotegemewa. Nini shida ??
Tunawaita variants ( reference from loki season ) Inawezekana na tetesi inasemekana watakuwa hawa variants wengi kwenye Dr strange 2Sasa hivi mrvel tupo phase ya multverse mimi nahisi wale waliofariki kama iron man na black widow watakuja wenzao ambao wanao fanana nao kutoka earth nyinginekama tumeona dr strange antokea mtu alifanana nae au spiderman tumeona wametoke watatu mimi nadhani watakuja nao
Tunawaita variants ( reference from loki season ) Inawezekana na tetesi inasemekana watakuwa hawa variants wengi kwenye Dr strange 2
Na multiverse war the next big villain after thanos ni kang the conquer ambaye character yake kaicheza Jonathan majors na atakuwepo kwenye ant man 3
Kwenye loki variant ya kang anawaambia mi ni mpole ngojeni mkutane na variant wangu
Walivyomuua akawaambia see you soon mamaee [emoji2] nyie marvel acheni kabisa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tunawaita variants ( reference from loki season ) Inawezekana na tetesi inasemekana watakuwa hawa variants wengi kwenye Dr strange 2
Na multiverse war the next big villain after thanos ni kang the conquer ambaye character yake kaicheza Jonathan majors na atakuwepo kwenye ant man 3
Kwenye loki variant ya kang anawaambia mi ni mpole ngojeni mkutane na variant wangu
Walivyomuua akawaambia see you soon mamaee [emoji2] nyie marvel acheni kabisa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio inaendelea season 2Hivi series ya Loki inaendelea?
Inawezekana maanaNiliona theory moja wakasema kwenye end of Multiverse of Madness inawezekana Kang akaja akamdefeat Strange kiurahisi na halafu atamfungia kwahiyo strange atagone missing...
Baadae atahitajika kutokana na knowledge yake aliyonayo kuhus Multiverse, inabid Antman na Wasp waende kumuokoa strange kutoka alikofungiwa kwahiyo ndio movie antman Quantumania inazaliwa hapo
Yaani Marvel kila siku inazid kuwa haishikiki na kuhusu Moon Knight nahis itakuwa nzuri kuna vitu ntaweza ku relate
Sasa sijajua na lile jambazi Dr strange supreme atauliwa au itakuwaje maana kwenye season ya what if halikufa instead lilibadili moyo liliamua nalo ku protect multiverse sasa sijajua kwenye DS 2 wataungana against kang au vip na pia bado hii na chairman wa marvel Kevin feige amesema ile season ni canon to other marvel movies ita relate kwa kiasi kikubwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app