Naam niliwahi kusoma Comic version ya Echo kipindi alipotangazwa kua atakua kwenye series. Though ni adopted daughter wa Kingpin ila alikuja kua mpenzi wa Daredevil.Cox ni Embodiment ya Daredevil...yeah nmeanza kuangalia niko halfway episode ya pili ila mpaka sasa sijapata ile kimbiza kimbiza niliyoifikiria.
kiukweli mm ni shabik mkubwa wa Hawkeye naomba asiniangushe ukizingatia Christmas [emoji319] ndio wakati wangu pendwa wa mwaka.
Tuipe muda, ngoja tuone Ep3 tarehe 1.Nategemea itakuwa inaendelea kuchangamka kila episodes ...kama ulivyosema tuipe mda.
quick question, are you british?
Naam niliwahi kusoma Comic version ya Echo kipindi alipotangazwa kua atakua kwenye series. Though ni adopted daughter wa Kingpin ila alikuja kua mpenzi wa Daredevil.
Kiukweli bado sijapata kile nilichotegemea kwenye Hawkeye ukizingatia Clint uwezo wake wa kupigana.
Tuipe muda, ngoja tuone Ep3 tarehe 1.
Sorry swali lako sijalielewa vizuri.. liweke vizuri nitakujibu[emoji3577]
They treated Clint like he's nothing in mucu maybe kwakua hana super power and so does Daredevil ila yeye anapendwa.Itakuwa moto zaidi akija Murdock, Echo wake pamoja na Boss Kingpin wakifanya hivyo wataongeza mashabiki mpaka wale wa daredevil watajoin the club plus series itazid kupaaa..maana Hawkeye kuna wengine hawampendagi japo kuwa Clint ni archer hatari sana
Cast ya Eternals walikuwa wanacheza quiz kuhusu Mcu walivyoambiwa Clint Barton ni Hawkeye wakawa wanacheka kuhusu jina lilivyo.. kila mmoja akacheka nkawa najiuliza kwani mtu akiitwa clint.. ni vibaya au ni joke au ni nn anyway sikuelewa logic behind
Kukaa na wabritish Check! Ila kutumia neno mate kuna mdada wa kizungu alinizoesha kuita hivyo basi nikazoea mpaka leo.Kuhus question nimeona unatumia Mate... hey mayt... na sio brother, bro au dude n.k maana hilo neno hatulitumiagi sana, well labda kama ulikaa sana na wabritish
PS: Kama hutajali fungus uzi utakaohusu wasomaji wa Comics kwakweli napenda comics sana hunilia muda wangu sana kuzisoma.. Ukiweza anzisha mada It'll be Great, ili tuwachumbue characters ambao hawajawepo MCU
Umejitahidi kabisa kwa mtiririko muvi ambazo sina hapo kwa marvelImenibidi nikusanye MCU zote, DCU zote, Star Wars zote niziangalie kwa chronological orders[emoji855]
View attachment 2031245
View attachment 2031246
Star wars sijawahi kuzipenda wala kuzielewa
Imenibidi nikusanye MCU zote, DCU zote, Star Wars zote niziangalie kwa chronological orders[emoji855]
View attachment 2031245
View attachment 2031246
View attachment 2031248
Ilibidi tuu niziweke kwenye chronological orders maana zamani nilikuwa naangaliaga randomly mwisho wa siku nakosa kuelewa mtiririko ukoje.Umejitahidi kabisa kwa mtiririko muvi ambazo sina hapo kwa marvel
-Spiderman 1&2
Amaizing spiderman 1
Hulk
Kwa dc..
Nina batman zote za christian bale
Sina tu bird of prey na suicide squad maana sikuzipenda
Star wars sijawahi kuzipenda wala kuzielewa
Hizi bado sijaanza kuziangalia, za miaka ya karibuni nilizicheki ila hizo za miaka ya 1970s' nitazitafuta.Duh unejitahid kuzipanga aisee Uko vizuri, sema star wars nahis sio chimbo langu mimi ni wa star trek japo sio popular opinion
Aisee uko vizuri KingsmannImenibidi nikusanye MCU zote, DCU zote, Star Wars zote niziangalie kwa chronological orders[emoji855]
View attachment 2031245
View attachment 2031246
View attachment 2031248
Mkuu napendaga sana niangalie kitu from the beginning to the end in series.Aisee uko vizuri Kingsmann
Wanaofuatilia Series ya Hawkeye. Naninkaangalia episode 5?
Nimeipata jana saa 7 mchanaBado mm sijaipata mpaka sasa si ilitakiwa itoke Dec 15 au tofaut ya mda ndio inasumbua
Nimeipata jana saa 7 mchana
Au ingia 1337x.to then pakua kama TorrentDuh mm bado source uliyoipatia hiyo episode ntajie tafadhali
Au ingia 1337x.to then pakua kama Torrent