Kuhusu ile minong'ono ya hapa na pale kuwa labda kuna uwezekano mbeleni kuwa mabosi kutoka DC na MCU wanaweza kukubaliana kutengeneza movie moja inayohusisha pande zote mbili; sasa ni kwamba Kevin Feige ametoa neno kuwa "jambo hilo halitowezekana kamwe!"