The flash ni project ya zamani sana James hahusiki na wala haipo kwenye DCEU atakayoitengeneza James.
Project nyingi za dc kama Joker,Black adam, Aquaman, The flash zipo stand alone hazipo kwenye main universe. Mwanzo baadhi zilikua kwenye main universe ila James kafomati kila kitu.
Hata the original Flash must be recasted

Ikr, ila Shauku nioiyoinayo ni baada ya James Gunn tweet yake.
Hata kama hajahusika Ila inaweza kuwa kama turning point ya DC na ikawa kama intro ya 2025 ambapo tunaweza tegemea sasa movie zikianza kutoka