Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,251
Hivi kwann mnasema Black Adam ni mbaya??Yaani mpaka najuta kuchoma bando langu kuwafatilia
The Batman 2022 na Black Adam zimenipa funzo. walibahatisha Aquaman, ila Wonder woman nayo wakaboronga. Suicide squad sijawahi kuipenda, Justice League nayo naiona ya kawaida sana nikicompare na Avengers. Sijui nilipata wapi moyo wa kuwafatilia hawa jamaaLakini kwenye series nasikia Sandman 2022 wamefanya poa. Ila hawa jamaa nawahama nimeshachoma MB nyingi. Muvi zao nyingi zinachefuaNgoja niingie huku Marvel series ya Hawkeye ilinikosha pia, Moon Knight sijaiendelezea
Eeh Sea Tax inakufikisha fasta kikubwa uwe na kadi tu,Hii kweli Ntatafuta wakat, Labda weekend maana najua si Kuvuka na Sea Taxi tu.
Najua kuna mtu humu anatamani angeambiwa yeye
Nakumbuka kama kwenye Dr Strange tulisema tukutane cinemax tukakimbiana humu,Hivi Mnaonaje tukapanga Mipango ya Longterm kuhusu sisi wadau wa Hii thread.
Yes yes, ila sasa hatukumuona akijidogosha, yeye alikua anajikuza tu, labda 2 tutaona makeke yake zaidiHuyo jamaa unamsema (anaitwa atom), powers zake hazina utofauti na anti man( au na anti man naye humkubali?)
Tunatofautiana tu. Mi Black Adam haijanikosha, nimeangalia mara moja tu nikaifutaHivi kwann mnasema Black Adam ni mbaya??
Aisee movie nimeirudia ile na sijaichoka hadi sasa
Yap, uwezo huo anao.Yes yes, ila sasa hatukumuona akijidogosha, yeye alikua anajikuza tu, labda 2 tutaona makeke yake zaidi
Mi bado mgeni sana kwenye muvi za aina hii, huenda hayo mambo nisiyoyapenda nitakuja kuyaelewa mbeleni huko. Sasahivi itabidi nianze kufuatilia kila muvi ya Marvel na DC ndio nitakuja kuyaelewa hayo madude.Huyo jamaa unamsema (anaitwa atom), powers zake hazina utofauti na anti man( au na anti man naye humkubali?)
Tunatofautiana tu. Mi Black Adam haijanikosha, nimeangalia mara moja tu nikaifutaKama tu wewe jinsi ile series ya All of us are dead ulivyoona haijakubamba, lakini Mimi nimeikubali sana. Kama kuna vitu naona ni vigumu, basi ni kuirudia Black Adam, kiukweli siwezi
Karibu kwenye ulimwengu wa Animation,Mi bado mgeni sana kwenye muvi za aina hii, huenda hayo mambo nisiyoyapenda nitakuja kuyaelewa mbeleni huko. Sasahivi itabidi nianze kufuatilia kila muvi ya Marvel na DC ndio nitakuja kuyaelewa hayo madude.
Sasahivi najitahidi niwe kotekote nilikuwa sipendi Korean movies sasahivi naangalia, nilikuwa sipendi drama sasahivi napenda, nilikuwa siangalii animations sasahivi naangalia, series nilikuwa naona uvivu kufuatilia sasahivi nafuatilia vizuri tu, sasa nimeamua kuja huku pia siku za mbele hizo power za kuwa giant na kujidogosha pengine nitaziona za kawaida
Kwa wote ambao hawakuipenda Black Adam basi 2 wakae mkao wa kuenjoy, nimepata maono itabamba sanaaaYap, uwezo huo anao.
Kwa maoni yangu, alikuwa anafanya vile kutokana na black adam, kadiri anavyokuwa mkubwa na nguvu zinaongezeka, alihitaji hizo nguvu kupambana.
Hope tutaonana nae huko black adam 2.
Anyway, WB wameboa raia sana kumuachia Henry Cavill.
Hiyo Willow ni Marvel au
Unakumbuka kumbe kuhusu all of us are dead, hapana bhana mule utoto mwingi sana,
Kama sasa hivi naangalia series ya Willow, najikaza tu ila utoto mwingi hadi nakasirika ila story yake ni nzuri.
Willow imeandikwa na George Lucas(jamaa wa starwars franchise), kwa sasa imetolewa na Disney, ambaye ni mmiliki wa Marvel.Hiyo Willow ni Marvel au
Leo usiku najituliza na Puss in Boots: The Last Wish halafu The Amazing Maurice Hadi Leo sijaangalia ila nayo soon nitaangalia. Paws of Fury na Minions mwaka Jana ziliumwagilia moyo wangu ipasavyoKaribu kwenye ulimwengu wa Animation,
Ndio mitaa yangu hiyo.
Ikitoka Black Adam 2 nitaangaliaKwa wote ambao hawakuipenda Black Adam basi 2 wakae mkao wa kuenjoy, nimepata maono itabamba sanaaa
Iangalie kwanza Puss in Boots halafu tutakuja kuichambua.... the Amazing Maurice niliiangalia ilivyoisha nikairudia tena hapo hapo same na Minions,Leo usiku najituliza na Puss in Boots: The Last Wish halafu The Amazing Maurice Hadi Leo sijaangalia ila nayo soon nitaangalia. Paws of Fury na Minions mwaka Jana ziliumwagilia moyo wangu ipasavyo
Hiyo Despicable Me 4 itoke tu tuiangalie, 2024 mbali lakiniIangalie kwanza Puss in Boots halafu tutakuja kuichambua.... the Amazing Maurice niliiangalia ilivyoisha nikairudia tena hapo hapo same na Minions,
Can you imagine
Nakumbuka kama kwenye Dr Strange tulisema tukutane cinemax tukakimbiana humu,
M all ears