Marufuku kukata tamaa

Cha kushangaza kuna mtu mzima kabisa, na anaviungo vyote kwa hiari yake anaamua kuwa ombaomba barabarani.
Hao wana omba omba wakati ni wazima kabisa ni wa kuchapa bakora tu, otherwise labda awe na reason strong sana
 
Halafu unakutana na mtu ana mke na watoto kama utitiri wako kwenye mataa wanaomba na bila kilema chochote! Kwa hili Makonda namuunga mkono.
Ni kweli kabisa aisee
 
Hao wana omba omba wakati ni wazima kabisa ni wa kuchapa bakora tu, otherwise labda awe na reason strong sana

Nafikiri kuna watu tunawaona wazima lakini kumbe wana ulemavu wa akili. Hao ni wabaya kuliko hata walemavu wa viungo vinavyoonekana.

Tusiwadharau walemavu, wengine wanavipaji na uwezo wa hali ya juu sana kiakili.
 
Saluti kwako
 
Huyu bwana nikikutana nae nitamuunga mkono kwa kununua viatu au kama havinitoshi...lazma nimpge na mwekundu...mmoja...! Ameniiimpress sana kwa juhudi zake!
 
Nadhan adhabu walopewa wacheza pulu wangeanza nayo kwa omba omba wanaojifanya walemavu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…