Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Umeambiwa CD ambazo zinachochea chuki ndio zimepigwa marufuku,sasa unaposema wadownload na kuweka kwenye simu unamaanisha kuwa unaunga mkno uchochezi na kusema kuwa Uislamu unakubali chuki na uchochezi?.....
Umeambiwa CD ambazo zinachochea chuki ndio zimepigwa marufuku,sasa unaposema wadownload na kuweka kwenye simu unamaanisha kuwa unaunga mkno uchochezi na kusema kuwa Uislamu unakubali chuki na uchochezi?
Jidanganye na akili yako mbovu,finyu,mbumbumbu,hakuna ki2 kibaya kama kumdharau m2 kwa imani yake,ucludie kumwita m2 kafiri,otherwise utafi...wa,kuwa makini unapo adrec wa2,popopopo.
Kutoa mbinu ambayo inazidi kuchochea si jambo jemaSasa kama wanakataa kusikia tunafanyaje, tunawapa mbinu
Hizi CD bado zipo na zinauzwa hadahrani kabisa, Hapa Arusha maeneo ya Cafe la Aziz kuna msikiti unaitwa "MASJID QUBA"
pale mlangoni kuna shelf limewekwa wanauza CD za uchochezi wa kidini muda wote. Jana nilipita hapo nikasikia kuna moja wameweka watu wanasikiliza, ilikuwa inazungumzia kuwa serikali imemtelekeza Aboud jumbe na kumficha huko mjimwema kigamboni kwa sababu ni muislamu.
MARUFUKU CD ZA ROGO,UAMSHO NA ILUNGA.
Hii ndio hali tuliyofikiswa waislam na viongozi wanafiq ambao tuliwachagua eti tuliona uislam utakuja juu kumbe ndio wao wanaukandamiza bado waislam tumekuwa maiti hatutafakari ,hatuzinduki kuwabaini hawa wanasiasa niwanafiq.hawa wanailinda nidhamu yao sio uislam.
Tusipokuwa makini hata swala tutaambiwa tuswali majumbani kwani zinawakera makafiri.
ukweli kwa upande wa kiislamu unaitwa uchochezi wa dini. ukweli kwa upande wa chadema unaitwa ugaidi.Hizi CD bado zipo na zinauzwa hadahrani kabisa, Hapa Arusha maeneo ya Cafe la Aziz kuna msikiti unaitwa "MASJID QUBA"
pale mlangoni kuna shelf limewekwa wanauza CD za uchochezi wa kidini muda wote. Jana nilipita hapo nikasikia kuna moja wameweka watu wanasikiliza, ilikuwa inazungumzia kuwa serikali imemtelekeza Aboud jumbe na kumficha huko mjimwema kigamboni kwa sababu ni muislamu.