Ngatele
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 809
- 706
Sijawahi kuona kitu ninachoona leo, camera moja tu inatumika kuwaonesha viongozi wanao ongea, wananchi wanaposhangilia na kuambiwa wanyoshe mikono juu au kuitikia vibwagizo hawaoneshwi.
Chadema hawatakiwi kulipia kipindi hiki kwa gharama ya TV, labda walipie kwa gharama ya redio kwani ni sawa na kusikiliza redio.
Chadema hawatakiwi kulipia kipindi hiki kwa gharama ya TV, labda walipie kwa gharama ya redio kwani ni sawa na kusikiliza redio.