Hata hapa Marekani private companies lazima zitangaze nafasi za kazi na zi-certify na wizara ya kazi kwamba hakuna Mmarekani aliye na uwezo wa kufanya kazi hiyo ndipo wanapopewa go ahead ya kuajiri foreigners. Wanaoajiri foreigners bila kibali cha serikali wakikamatwa wanafunguliwa mashtaka na kutozwa faini.But that is a patriotism issue and not a legal one. Hata nchi zilizoendelea makampuni haya lazimishwa kuajiri watu wa nchini kwao. Ndiyo maana Marekani kuna malalamiko sasa kuwa kazi zina chukuliwa na foreigners. Kwa hiyo kaka issue ni ngumu kudeal with kama hakuna legal basis.