Marubani Watanzania Waliotoka Shuleni Waandaa maandamano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marubani Watanzania Waliotoka Shuleni Waandaa maandamano.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kijambia, Jul 21, 2011.

 1. K

  Kijambia Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kuona Serikali yetu inavyowapa wazungu first priority.Wazungu wanatoka kwao wanakimbilia Tz kupata kazi,wakati wenyeji wanapigwa danadana.Ni kweli marubani wa kitanzania sio wengi,kwa sababu kusomea ni ghali sana,karibu mil 80.Wapo waliojitahidi kujisomesha kwa kupitia mikopo,lakini baada ya kurudi hawapewi kazi.Mzungu anatoka kwao,direct from school,akija anapewa kazi.hawa wana lengo moja,kupata uzoefu na masaa then anarudi kwao,kabla hajaondoka anamwita mwenzake.kwa hiyo inakua ni mzunguko.Kitu cha kushangaza ni nani anaetoa hizo work permit.Kumejaa rushwa tupu huko mambo ya ndani,wana njaa kama darfur.Kwa maana hiyo vijana marubani wapo mbioni kuandaa maandamano kupinga ubaguzi huu ndani ya nchi yao wenyewe.makampuni yanaongoza kwa wazungu ni,Coastal Aviation,precesion Air,na Arusha huko zimejaa.Maandamano yatakua ya amani,na yaliodhihinishwa na chama cha marubani tanzania PTPA.,maandamano hayo yataelekea moja kwa moja kwa Rais,magogoni.Vyombo vyote vya habari vitahusishwa.
   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  its true. waandamane tu. si wao tu hata mainjinia wa ndege wengi wao hapa kwetu ni wageni
   
 3. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
   
 4. K

  Kijambia Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serekali haiwalindi raia wake,sasa hiyo maisha bora kwa kila mtanzania itakujaje!
   
 5. K

  Kijambia Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hao marubani wapo katika wakati mgumu-maana serikali haina ndege-kama sikosea,ukitoa ndege ya raisi-zinabaki ndege 2-sasa wanategemea waendeshe ndege gani?hizo kampuni zote ulizosema ni za watu binafsi-wao wana haki ya kuajiri watu wanaowataka wao bila serikali kuingilia-
  WANATAKIWA WAILAUMU SERIKALI YAO KWA KUTOKUWA NA NDEGE-HILO NDO LINGEKUWA JAMBO LA MAANA
   
 7. K

  Kijambia Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sheria ya kazi,huwezi kuajiri Foreigner kwa kampuni iliosajiliwa Tz.Labda tu kama hakuna mtanzania anayeweza kushika nafasi hiyo.Na hata ukiajiri Foreigner lazima ufanye train kwa local Man ili aje kurithi nafasi hiyo,baada ya contract kuisha.Haijalishi kama kampuni ni ya Serekali au mtu binafsi.
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Dah kama sikosei mashirika yote haya ni ya binafsi. Kama ni ya binafsi sidhani kama wanakesi yoyote unless kama serikali ina hisa. Kwa kawaida mashirika binafsi yana haki ya kuajiri yoyote wanaetaka na hawa hitaji kukupa sababu za kukunyima kazi na wala hamna sheria inayo wakataza kujaza wazungu.
   
 9. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ila namsifu RUBANI wa Gulfstream ya Vasco Da Gama.Maana hizo safari za kila siku ,lazima awe top class.Sijui amesoma fying school gani?
  Labda mnaomjua mtupe wasifu wake
   
 10. K

  Kijambia Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nini maana ya uwekezaji,Ni lazima kutoa ajira kwa watanzania.kama unafungua kampuni na kujaza foreigners,na kuchukua faida nchini kwako,basi huyo mwekezaji HATUFAI hata kidogo!
   
 11. RICHEST

  RICHEST Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kusoma fani yoyote ni ku-invest in yourself.Hivyo kabla ya kukopa ili usome chochote (u-invest in youself) ni vizuri kufanya feasibility study kama hicho usomacho mwisho wa siku una uhakika kitalipa.Hata kama utasomeshwa bure studies muhimu maana waweza poteza miaka mingi kusomea kisicholipa.Watanzania wengi nafikiri hawafanyi feasibility studies.

  Anyway kama walisomea vyuo vizuri vinavyotambulika kimataifa na wana degree za mambo ya ndege na leseni zinazotambulika sioni kwa nini wakose kazi.Tatizo kuna wale waliomaliza kidato cha nne au sita wakaenda vyuo kama vya VETA vya urubani ambavyo viko vingi na vina ada kubwa.Fani ya urubani bila degree siku hizi kupata kazi shida tofauti na zamani ambako ni lesseni na flying hours ndivyo vilikuwa vina maana.

  Hata madereva siku hizi serikalini lazima uwe umemaliza sekondari,uende chuo ndipo waweza jihakikishia ajira.Darasa la saba hawana nafasi hata wakisema waweza endesha benzi zote za ikulu.Vigezo vimepanda.

  Sijui hao marubani sifa zao za elimu zikoje lakini anyway maandamano haki yao Lakini wakiandamana vizuri wawe na hoja kali si kujua tu kuwasha na kupaisha ndege na kukata kona na kutua.
   
 12. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  crap

  hapa watu wanapinga ubaguzi bana mambo ya theory peleka makabulini mbona waliozianzisha hizo theory hawazitumii vibaya kama sisi.? siku hizi kuna vitabia vya kuweka weka theory za kijinga hata kusikofaa na huu ungekuwa mtiahani unge feli kwa kutoa jibu lisilo sahihi
  yaani ajira kufanyiwa ubaguzi mpaka kufanyika feasibility study? hata ukifanya option ni ipi kusoma na kuja kufight ubaguzi na unyonyaji au kutosoma na kukaa chini na kulia? kwa hii ni kwenye urubani tu? au hiyo study itakuwa wide kiasi gani?
  au dawa ni kupinga?
  kila nchi ukienda hata USA na UK watatetea ajira kwa wazawa kwanza na kuwa kufanya hivyo UK sasa hawatoe VISA ya kazi kutoka mataifa ya nchi kiholela wameweka limit tena ndogo sana, serikali wafanye kitu bana uhamiaji wananuka rushwa kwa kushirikiana na waajiri,
  hizo nchi nilizokutajia serikali inasema wazi kabisa kazi wapewe waza na sio migrate na wanatumia maneno makali kabisa unaweza kuwa na uraia wa nchi hizo bado watasema wewe ni migrate sasa sisi kupinga ni kosa?

  hao marubani wapewe support kukomesha mabisa huu ujinga katika sector zote nashangaa wafanyakazi wa hotelini wanasubilia nini? badala ya kujiunga na hawa
   
 13. k

  kiloni JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  crapppp!!!!!!!!!!!!
   
 14. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mikenya bwana utaijua tu
   
 15. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yawezekana ndio maana naatetea huu ujinga
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  But that is a patriotism issue and not a legal one. Hata nchi zilizoendelea makampuni haya lazimishwa kuajiri watu wa nchini kwao. Ndiyo maana Marekani kuna malalamiko sasa kuwa kazi zina chukuliwa na foreigners. Kwa hiyo kaka issue ni ngumu kudeal with kama hakuna legal basis.
   
 17. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Umeshawahi kuishi US au UK?????
   
 18. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio inatakiwa, mfuateni mkuu wa kaya magogoni na sio waziri ama kuishia kulalamika pembeni. Kazeni buti kwani soon watu wa professions nyingine nao watafuata. Kualalmika tu mitandaoni ama mitaani hakusaidii. Vitendo tu.
  Hata Saidi Mwema akisema eti kutokana na sababu za kiintelijensia anapinga maandamano msimsikilize.
  alunta continua
   
 19. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Bila shirika la ndege la Taifa lenye dira na mwelekeo wa kueleweka hakuna ajira za kueleweka.Serikali iwekeze kwenye shirika hili kwanza lipewe mtaji wa kutosha,wanunue ndege za kutosha nadhani ajira zitapatikana.
   
 20. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwanafalsafa,
  Wana kesi ukizingatia sheria za kazi Tz zinasemaje. Kwa kuwa tu kampuni ni ya kibinafsi haina maana kuwa sheria za kazi za Tz haziyahusu makampuni hayo. Shida ni utekelezaj wa sheria hizo, wizara ya kazi na wizara ya uhamiaji.
   
Loading...