Martin Niemoller na Watanzania leo....

Martin Niemoller na Watanzania leo....

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,612
Hii ni quote maarufu sana ya Martin Niemoller...naona wana JF na watanzania kwa ujumla
inafanana hasa na hali halisi ya kwetu..

First they came for the Communists
And I did not speak out
Because I was not a Communist
Then they came for the Socialists
And I did not speak out
Because I was not a Socialist
Then they came for the trade unionists
And I did not speak out
Because I was not a trade unionist
Then they came for the Jews
And I did not speak out
Because I was not a Jew
Then they came for me
And there was no one left
To speak out for me -

Martin Niemoller alikuwa Ujerumani wakati wa Hitler wakati ambako hayo mambo yanatokea...

walianza 'kushughulikiwa' kundo moja moja.....bila kuagalia sheria na haki...

Hapa kwetu unaweza sema 'waliponyooshwa watumishi wa serikali'
hakuna nyongeza wala kusikilizwa na kufukuzwa tu...

wengine labda mlisema 'aah wamezidi hao' kwanza mimi sio
mtumishi wa umma...

wakaja vyama vya siasa na siasa marufuku.....aah hainuhusu..

wanafunzi na mikopo......aah hainihusu

wafanyabiashara na kodi kupandishwa holela...
aah hainihusu.......

Lema........ahhh hainihusu
Be Saanane ahhh shauri yake
Max.......aah nao JF wamezidi hainihusu..

Zamu yako itafika....hakuna wa kukutetea....wote tutakuwa busy na kesi
zetu au za ndugu zetu..............

Martin Niemoller.....alishasema siku nyingi...tuifunze
 
Kuna watu wanajiona wako 'safe' kwa sababu tu wako CCM au labda yuko usalama
kumbe zamu ikifika hakuna alie safe
Ili kuweka kumbukumbu sawia zile Prison bus zililetwa na Laurence Masha wakati akiwa mezani kwa bwana lakini hatimaye Masha mwenyewe alipanda mabasi yale kupelekwa lupango Segerea.

We are ready for whatever, only fear for death.
 
Hakuna ambae yuko safe...
kuna watu bado wanajidanganya
 
Thanks mkuu, I was about to post that famous word of Pastor Martin
 
Labda tukiguswa wote ndio tutatia akili Watz

Shida ni kuwa hatutaguswa wote kwa mara moja
kila kundi litaguswa kwa wakati wake
siku wakiguswa wana CCM...wengine wako hoi hapo
 
Imeshafika mbona kwa kuzuia Contractors, Printers, Insurance Companies, Conference Venues, Flights na mengineyo, haya nambie kabaki nani hapo. Hahahaha
Hii ni quote maarufu sana ya Martin Niemoller...naona wana JF na watanzania kwa ujumla
inafanana hasa na hali halisi ya kwetu..

First they came for the Communists
And I did not speak out
Because I was not a Communist
Then they came for the Socialists
And I did not speak out
Because I was not a Socialist
Then they came for the trade unionists
And I did not speak out
Because I was not a trade unionist
Then they came for the Jews
And I did not speak out
Because I was not a Jew
Then they came for me
And there was no one left
To speak out for me -

Martin Niemoller alikuwa Ujerumani wakati wa Hitler wakati ambako hayo mambo yanatokea...

walianza 'kushughulikiwa' kundo moja moja.....bila kuagalia sheria na haki...

Hapa kwetu unaweza sema 'waliponyooshwa watumishi wa serikali'
hakuna nyongeza wala kusikilizwa na kufukuzwa tu...

wengine labda mlisema 'aah wamezidi hao' kwanza mimi sio
mtumishi wa umma...

wakaja vyama vya siasa na siasa marufuku.....aah hainuhusu..

wanafunzi na mikopo......aah hainihusu

wafanyabiashara na kodi kupandishwa holela...
aah hainihusu.......

Lema........ahhh hainihusu
Be Saanane ahhh shauri yake
Max.......aah nao JF wamezidi hainihusu..

Zamu yako itafika....hakuna wa kukutetea....wote tutakuwa busy na kesi
zetu au za ndugu zetu..............

Martin Niemoller.....alishasema siku nyingi...tuifunze
 
Imeshafika mbona kwa kuzuia Contractors, Printers, Insurance Companies, Conference Venues, Flights na mengineyo, haya nambie kabaki nani hapo. Hahahaha

Tumeingia rasmi 'umasikini activated mode'
 
Dollar iliyoko madarakani imeamua kuendekeza uhalifu wa kivita....mara wengine wafungwe kwenye viroba na kutupwa mto Ruvu, mara huyu alazimishwe kusota rumande bila sababu za msingi, mara mwingine anabambikiwa kesi ya kusajili tovuti nje ya nchi.....yaani utadhani tuko Korea Kaskazini, kumbe ni hapa nchi ya Maziwa na Asali.
 
Tusimame kupigania haki,Uhuru wa kupata habari na demokrasia, kadri watu wanavyokaa kimya na wao wanakuwa majasiri wa kuvunja hizo haki.
[HASHTAG]#freemaxencemello[/HASHTAG]
[HASHTAG]#justiceforlema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#bringbackbensaanane[/HASHTAG]
Hatukuwachagua mtunyanyase,hatukuwachaga muue ndugu na marafiki zetu.
Hatukuwachagua muwafunge watanzania wenzetu.
Hatukuwachagua ili mvunje haki,mtunyime Uhuru wa kupata habari.
Hatukuwachagua ili mminye demokrasia.
2019 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
2020 kuna uchaguzi mkuu mkumbuke hilo.
 
Back
Top Bottom