Martin M. Masese amkosoa Tulia Ackson baada ya kusema "I Hate Death"

MUNGU anisamehe tu kwa kutomkubali mwanadamu mwenzangu ila huyu mama ni mtu wa hovyo sana.
Juzi ulileta Post ukiwananga GenZ kwamba hawaaminiki kupewa nafasi nyeti za serikalini .Leo Mzee mwezako unamuona ni wa hovyo 😂, .

Wa TZ washirikishwe Moja kwa Moja kwenye ujenzi wa Taifa lao mama Tanzania.

La sivyo itakuwa kila siku sisi kwa sisi tunahujumiana na kulaumiana
 
Hapa ndio unaona umetupoteza maboya vibaya. Ni hivi, Ndugai awahi motoni akaishi na dhalimu magu, maana wana mchango mkubwa katika kuharibu demokrasia ndani ta nchi hii, na kusimika mizizi ya siasa za kishenzi.
Huo Moto uliwahi uona au na wewe ndiyo walewale
 
Hakana hata nyama, Mimi ningekajibu shit sana🤣
 
FREE MIND,
 
Polepole alisikika akisema Job Ndugai alimkataza asifanye hivyo la sivyo watamuua

RIP Job Ndugai


Wale wote wanaotajwa na Polepole wote wanaotamkwa na kinywa cha Polepole, Vito Corleone atapita nao mmoja baada ya mwingine
Hawa watu ni wahovyo sana,namuomba Mungu awatumie radi wote
 
Alifanya uganga mchana peupe!!Halafu unaambiwa ameokoka,sijui kamba walimuongoza sala ya toba kule TAG au KKKT Kimara kabla ya kukaribishwa kuhubiri hapo KKKT Kimara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…