GE2025 Martin: Kesi ya Lissu imehamishiwa ukumbi mdogo unaoingiza watu 60 na nafasi zimejazwa na watu tusiowafahamu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
2,711
Reaction score
6,474
Toka kwa martin maranja masese (X)

"Leo utaratibu umebadilika Mahakama Kuu katika siku ya pili ya kesi ya uhaini Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Tofauti na jana ilivyokuwa, kesi imehamishwa kutoka ukumbi Na. 1 ambao ni ukumbi mkubwa na na kupelekwa ukumbi Na. 2 ambao unaingiza watu 60. Wamehamisha main courtroom bila maelezo yoyote ya kueleweka. Mawakili wapo zaidi ya 30. Viongozi wa chama, wageni na mabalozi? Wanachama watakosa nafasi ya kuingia. Pia, watu wanazuiwa getini na askari. Ulinzi umeongezeka. Hii kesi ina maslahi kwa umma, ilitakiwa kufanywa wazi katika ukumbi mkubwa, mfano Karimjee au ioneshwe LIVE kila anayetaka afuatilie. Tuone huo uhaini wa TAL. Mahakama haitaki visibility? Mahakama inachukia watu kuhudhuria kesi ya TAL? Mahakama siyo tu judge’s bench, witness box, jury box, clerk’s station, well of the Court ni pamoja na public gallery"

Pamoja na kwamba ukumbi wa Mahakama unaingiza watu 60, lakini tumekuta watu tusiowafahamu wamejaza sehemu kubwa ya ukumbi. Watu wanaelezwa nafasi zimejaa, wakae nje. Kumbuka, mawakili pekee ni nusu ya ukumbi, wageni, mabalozi, viongozi, nafasi zimekwisha. Mahakama ijisimamie.

Toka kwa Hilda Newton (X)

Ndani ya Ukumbi wa Mahakama wamejazana Mapolisi. Nje ya Mahakama wanachama wemgi wanazuiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Mahakama.

Wamejaza askari Polisi wengi ambao tayari wameshakaa ndani ya Ukumbi wa Mahakama.

Mvurugano ndani ya Mahakama na nje ya Mahakama ni mkubwa. Leo kutatokea jambo jipya hapa.

Mawakili wetu wameenda kuongea na Uongozi wa Mahakama kuhusu masuala haya. Tunasubiri kuona nini kitaendelea.
 
Mmh, wanadhani itawasaidia...?

Inawezekana wanataka kuudhibiti matumizi ya simu...

Ile live X-Twiiter streaming iliyotolewa jana hawataki kuiona tena. Swali ni wataweza..?

Tunatumia teknolojia ambayo haizuiliki, haidhibitiki...

Kila kilicho gizani, kitawekwa wazi...

Hata wakitupeleka kwenye chumba cha watu wawili, huyo wa pili tutakuwa sisi💪💪
 
Nina imani na majaji. Najua wanajua haki ni kitu gani kinaendelea na hawatakubali kuendeshwa na polisi. After all the judiciary is independent in thought, word and deed.
 
Kwa hali hii watamfunga tu hata asipokutwa na hatia!!
 
Wale walioimba Rais Rais walifanya kosa kubwa sana sometimes inatakiwa kudili na serikali kwa akili sana Aya sasa wamebadili ukumbi kusudi watu wasiwe wengi nilisema Jana hapa
 
Toka kwa martin maranja masese (X)

"Leo utaratibu umebadilika Mahakama Kuu katika siku ya pili ya kesi ya uhaini Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Tofauti na jana ilivyokuwa, kesi imehamishwa kutoka ukumbi Na. 1 ambao ni ukumbi mkubwa na na kupelekwa ukumbi Na. 2 ambao unaingiza watu 60. Wamehamisha main courtroom bila maelezo yoyote ya kueleweka. Mawakili wapo zaidi ya 30. Viongozi wa chama, wageni na mabalozi? Wanachama watakosa nafasi ya kuingia. Pia, watu wanazuiwa getini na askari. Ulinzi umeongezeka. Hii kesi ina maslahi kwa umma, ilitakiwa kufanywa wazi katika ukumbi mkubwa, mfano Karimjee au ioneshwe LIVE kila anayetaka afuatilie. Tuone huo uhaini wa TAL. Mahakama haitaki visibility? Mahakama inachukia watu kuhudhuria kesi ya TAL? Mahakama siyo tu judge’s bench, witness box, jury box, clerk’s station, well of the Court ni pamoja na public gallery"

Pamoja na kwamba ukumbi wa Mahakama unaingiza watu 60, lakini tumekuta watu tusiowafahamu wamejaza sehemu kubwa ya ukumbi. Watu wanaelezwa nafasi zimejaa, wakae nje. Kumbuka, mawakili pekee ni nusu ya ukumbi, wageni, mabalozi, viongozi, nafasi zimekwisha. Mahakama ijisimamie.

Toka kwa Hilda Newton (X)

Ndani ya Ukumbi wa Mahakama wamejazana Mapolisi. Nje ya Mahakama wanachama wemgi wanazuiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Mahakama.

Wamejaza askari Polisi wengi ambao tayari wameshakaa ndani ya Ukumbi wa Mahakama.

Mvurugano ndani ya Mahakama na nje ya Mahakama ni mkubwa. Leo kutatokea jambo jipya hapa.

Mawakili wetu wameenda kuongea na Uongozi wa Mahakama kuhusu masuala haya. Tunasubiri kuona nini kitaendelea.
THE MEANING OF STATE CAPTURE ....TENA STATE CAPTURE YA RAIA FEKI ...ndiyo maana samia kuua wazalendo kwake ni kipaumbele no 1
 
Nina imani na majaji. Najua wanajua haki ni kitu gani kinaendelea na hawatakubali kuendeshwa na polisi. After all the judiciary is independent in thought, word and deed.
Hakuna Mahakama Tanzania Mahakama zote zipo ndani ya Mfuko wa Serikali
 
Wale walioimba Rais Rais walifanya kosa kubwa sana sometimes inatakiwa kudili na serikali kwa akili sana Aya sasa wamebadili ukumbi kusudi watu wasiwe wengi nilisema Jana hapa
Wanataka wamnyonge hata Pilato akisema jamaa hana kosa watalazimisha kua wewe sio rafiki wa Kaisari hujawekwa hapo na Hangaya wewe mbunda nyonga hii mtu
 
Back
Top Bottom