Wote kuwa bora hakuzuii mtu kuchagua anayemkubali zaidiSasa kama kichwa cha uzi kimekiri kuwa hiyo list ni ya wana martial artists, kipi kimekufanya umpende zaidi Donnie Yen kuliko hao wengine?
Hiyo list uliyoweka umeweka watu hasa wenye utaalam wao kwenye hayo mawanda ya sanaa za kimapigano.
Heshimu hao jamaa, ndiyo sifa ya mtu wa martial arts otherwise uwe shabiki wa kawaida broo! Ossu!