Martha Koome apendekezwa kuwa Chief Justice wa Kenya

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,002
Mwanamke wa kwànza kuwa Chief Justice wa Kenya.
Wakenya wameamua kufanya mageuzi ya judiciary. Kwangu nawaongeza.

Court of Appeal Judge Martha Koome has been selected to succeed Chief Justice David Maraga.

Her name will be forwaded to President Uhuru Kenyatta for approval, and, thereafter, submitted to the National Assembly for vetting.

The Judicial Service Commission (JSC) announced on Tuesday, April 27 that Koome, 61, emerged the best candidate out of the ten applicants for the position.

The announcement was made by JSC Chairperson, Prof. Olive Mugenda, in a brief address to journalists on Tuesday evening


 
Huyu Mama Ni Kama kapendelewa, Kwa mujibu wa Taarifa za ndani ni kuwa Lady Justice Martha Koome alipata mark 6 wakati SC Fred Ngatia alipata 7 na Jaji William Ouko alipata 8... Katika kubalance ukabila Chief Registrar wa Judiciary Ni Mluo hivyo Chief Justice hawezi kuwa Mluo, Martha Koome Ni Mmeru..Kutoka Mt. Kenya..Lkn amekubaliwa na Deep state..
 
Back
Top Bottom