Nahisi zamani mapenzi yalikuja kwa kuamini mzazi hawezi nichagulia galasha na soba jeuri ya kukataa. Hivo ndoa zilidumu maana hata kama mume hatompenda mke, mke alivumilia kulea familia maana ilikuwa aibu kurudi kwao ameshindwa ndoa.
Binti wa siku hizi baba na mama wanamwambia binti yao, ukiona maisha yamekushinda rudi nyumbani bado wazazi wako tunakuthamini tunakupenda na tutakupokea. Ndoa haziwezi kudumu....