Marry your best friend you will be happy

Marry your best friend you will be happy

Tatizo vijana wa siku hizi wanajuana mwezi huu mwezi ujao ndoa. Kwa nini msipate muda wa kuchunguzana kwa zaidi ya miezi sita?
 
Cause you might end up loosing your best friend as well... (turning him/her into an enemy)

I think you have it backwards..., we need to make our partners our best friends and not necessarily making our best friends partners) ..., There's a big difference between the two

I like this!
 
Je,hHuyo "muzungu" wako alikuwa your best friend/date au ulimuibukia/ulimganda tu pale coco beach?

Yes my hubby was my best friend .Nimeenda college moja my marriage is happiness cause he knows me and I know him .I never dated strangers .And my hubby was not stranger at all nilivyokutana nae
 
love is the most important thang.
kama umefall in love na best friend wako ... the relationship will be the awesomest!!
 
Jamani kuepusha kasheshe kuchunguzana na ugomvi wa uzushi Kwenye mapenzi kwa nini msioe au date your best friend?

100% Right. tatizo vijana wengi kuna hatua wanairuka linapokuja suala la mahusiano. Mahusiano Ni muhimu yaanze na URAFIKI wa kawaida, halafu ndo girlfriend/boyfriend, baadae uchumba then NDOA. kama hamjawahi kuwa marafiki wa kawaida, yaani siku ya kwanza mlipoonana tu ukamtokea na mkawa Boy/girlfriend, mara nyingi uhusiano baadae unakuwa mgumu. Hii ni kwa sababu hamna urafiki wa kawaida, hata mkiwa pamoja hamna story nyingi. Ingawa kuna exception chache ya mahusiano hayo kuwa ya furaha.
 
Jamani kuepusha kasheshe kuchunguzana na ugomvi wa uzushi Kwenye mapenzi kwa nini msioe au date your best friend?
So ukioana na best friend wako ndio guranteed hakutokuwa na 'ugomvi wa kizushi'?
Absolutely wrong.
 
So ukioana na best friend wako ndio guranteed hakutokuwa na 'ugomvi wa kizushi'?
Absolutely wrong.

ndoa bora haipimwi kwa kukosekana ugomvi bali namna mnavyomaliza tofauti zenu. Tofauti lazima ziwepo maana hamkulelewa pamoja.
 
Umewaza tu hilo ulitupia hapa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom