Marry in haste

Marry in haste

A4.

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
670
Reaction score
108
Marry in haste (repent at leisure) mean that; ''people who are marry quickly, without really getting to know each other, may discover later that they have made a mistake''
 
Kwanini ukimbilie kuoa/kuolewa wakati mnatambua kabisa hamjafahamiana vizuri....Huoni kama matatizo mengine tunajitakia kwa kukurupuka kwetu? Nan alaumiwe hapo?
 
muda gani hasa unafikiri unatosha kumfahamu mwenzio kabla hamjafunga ndoa?
 
co hao tu mkuu, wengine wanazaa wakiwa wadogo sana, they dont plan, wanatujazia watoto wasio na malezi mitaani...
 
ogopa kuoa haraka kama unaogopa talaka/
na ukivote in a hurry ujue unaproduce corruption/
maneno yao ni matamu lakini midomo yao inanuka/
ukipewa usisahau,ukitoa TOA bila kukumbuka/

Fid Q - Propaganda
 
muda gani hasa unafikiri unatosha kumfahamu mwenzio kabla hamjafunga ndoa?

no exactly time but at least mpate muda wa kutosha kumfahamu mwenzako. Hivi wiki moja itatosha kumfahamu mtu kitabia? Nilishakuwa na mahusiano na gal mmoja 4 two years, ananifichia umri wake. Alijitahidi sana kuficha document zinazoonyesha mwaka wake wa kuzaliwa, nilipojua tu siku hiyo, ugomvi ukaanzia hapo hadi kuachana.
 
Kwanini ukimbilie kuoa/kuolewa wakati mnatambua kabisa hamjafahamiana vizuri....Huoni kama matatizo mengine tunajitakia kwa kukurupuka kwetu? Nan alaumiwe hapo?

Mkuu hujawahi kufanya mazoezi na mechi siku hiyohiyo?

samahani kwa swali lkn.
 
Tatizo isia kali kama za kuku ndio maana saivi sisi wanasayansi saivi tumeona bora tutafute dawa ya isia kwanza badala ya ukimwi
 
Kwani wazee wa zamani walikua wanajuana?
 
no exactly time but at least mpate muda wa kutosha kumfahamu mwenzako. Hivi wiki moja itatosha kumfahamu mtu kitabia? Nilishakuwa na mahusiano na gal mmoja 4 two years, ananifichia umri wake. Alijitahidi sana kuficha document zinazoonyesha mwaka wake wa kuzaliwa, nilipojua tu siku hiyo, ugomvi ukaanzia hapo hadi kuachana.

Kwa hiyo wewe kwako umri ndo.kigezo sahihi cha ndoa?
 
wala haikuwa hivyo ila kama aliweza kunifichia kitu kidogo hivyo, ni vingapi kanifichia?
 
Marry in haste (repent at leisure) mean that; ''people who are marry quickly, without really getting to know each other, may discover later that they have made a mistake''
English learning post! 40/100√ below standard
 
co hao tu mkuu, wengine wanazaa wakiwa wadogo sana, they dont plan, wanatujazia watoto wasio na malezi mitaani...
lakini ni wachache wanaoshindwa kumanage malezi,waliowengi wanajitahid kulea...hao watoto wa mitaan wanajaa kwa sababu nyingine tofaut na hii
 
Kwanini ukimbilie kuoa/kuolewa wakati mnatambua kabisa hamjafahamiana vizuri....Huoni kama matatizo mengine tunajitakia kwa kukurupuka kwetu? Nan alaumiwe hapo?

unataka kusema kwamba lisemwalo halipo??

mara ngapi wachumba wanakutania stendi kuu ubungo na kuoana baada ya wiki 4 za kuonana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom