You made it sound like 'Married to a wrong person' versus 'Being single'.
Are you sure? What I know men and women lived together from the beginning. What you have just say is just a form which is usually wrong interpreted.Zama za mawe hakukua na ndoa, wanaume wenye nguvu hasa wawindaji ndiyo walikula visura. Ukimtaka unaempenda unaweka mkuki nje ya kibanda kuonyesha kuwa kuna kidume ndani.
Hakuna aliyejua mtoto wa mwanaume gani, watoto walijua mama zao tu.
Binadamu alivyozidi kuendelea aliamua kuanza kumiliki ardhi, wanyama, nyumba bora. Ndipo alipotaka kumiliki mke atakaemzalia watoto watakao rithi mali.
Ndoa ni tamu when you meet your soul mate. Hii ni nadra sana kutokea. A person who understands and fulfill you in every way.Kaa siku ujiulize ni kwa nini watu wenye akili nyingi kuwahi kutokea duniani hawakuwahi kuwa na wake wala familia.
Tunaoa tu kama utamaduni ambao umejengeka katika fikra zetu ndo maana mtu akiwa na umri mkubwa alafu mke watu wanamshangaa,but in reality ndoa ni mateso makubwa sana kama ni furaha basi katika ndoa 100 couple 1 ndio inayopata furaha