Marriage is a sacrifice

Pole kiongozi ila tafiti zinaonesha jinsi mwanamke anavyokuwa na elimu zaidi ndivyo uwezo wa kukaa kwenye ndoa unavokuwa mdogo!
Btw kwanini uoe? unamiss nini usipooa?
Sasa hivi dunia ina aina ya wanawake waliowezeshwa kwa kila namna na sheria pia imeegemea upande wao.. bahati mbaya wanaume wa kuishi na kucope na aina hii ya wanawake hawajaandaliwa!

Usioe Mkuu.. Narudia usioe.. Either jiandae kuwa zezeta ili ndoa idumu!
 
Huhuhuuu..poleee pole pole sana ...
 
Nakuunga mkono kwa aslilimia 50,unaweza kusacrifice lakini ukumbuke shetani yuko hapa duniani kuhakikisha kuwa hakuna ndoa inayoweza kusimama imara,kwani iwapo lenu litakuwa moja kwake ni pigo,kwahiyo huwa anapambana kuona lazima inavurugika.Wewe una amua kusacrifice mwenzio anakuwa kinyume chake,hapo ndio chanzo cha shida,kwahiyo ili uweze kumalizia hiyo asilimia 50 ni lazima kuwe na ushirika wa Mungu wa kweli,kwa mmoja wenu aamue ili aweze kumkomboa mwenzake au ushirika wa wote wawili kuamua kuishi maisha ya kumtukuza Mungu,kinyume cha hapo tegemea maumivu...
 
Naunga mkono hoja ya mwandishi..lakini yote kwa yote tunatakiwa kumshirikisha Mungu maana ndoa za sasa hivi shetani amejua kuzisimamia kidete
 
If you know that someone is wrong and still considering him/ her to be right you are a typical hypocrite. Why don't you tell him/her about the mistake he/ she made? Are you afraid of him or her?

The truth must be told even if it has the negative effects. No need of hiding your feelings on stupid stuffs. If you hide it, you're condoning those stupid stuffs.

Don't be a slave in marriage.
 
Si kwamba hatujui kwamba hawako sahihi, kinachofanyika ni kuokoa ndoa.
 
Si kwamba hatujui kwamba hawako sahihi, kinachofanyika ni kuokoa ndoa.
Wanawake mna taabu sana.
Kwahiyo kumbe huwa mnajua udhaifu wetu but you choose to hide it, you continue boasting your man while he is not worth it.
 
Ndoa ni sacrifice,binafsi na kuunga mkono kwa asilimia 100.
Kizazi cha karne hii maadili ni mabovu sana afu swala la kuoa na kuolewa linachukuliwa simple sana.
Kumbuka This is a life time commitment.
Afu kuna kitu hua kinanishangazaga sana tuna invest sana kene harusi kuliko kene ndoa.
Ndoa si mchezo binafsi bado cjaoa ila nashuhudia mengi.
Ndoa zinawashinda wachungaji ambao neno lamungu limelala kichwani,
Watu kama akina emmanuel Mbasha na flora mbasha japo sio wachungaji lakini ni watu wa dini sana ndoa zimewashinda.
ndoa zinawashinda maprofesa.
Unakuta mtu ni psyologist kabisa ambae ame specialize kwenye psyology ya ninadamu nae ndoa imemshinda.
Billionaires pia wengine ndoa zimewashinda angalia mtu kama Reginald Mengi, mtu kama Jeff Bezos(mmiliki wa amazon) juzi tu amemwagana na mkewe.
Hii inatoa taswira kubwa kwamba ndoa sio mchezo.
Tena bora ndoa za zamani ndoa nyingi zinazofungwa sasahv ndo zinazo ongoza kwa kufungwa kwa garama nyingi na ndo zinazo ongoza kuvunjika.
Vijana cjui tunafeli wapi!!!
Mimi bado cjaamua kuoa lakini cjui itakuaje wakati ukifika, Time will tell.
 
Well said brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…