Marriage at Sea

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
4,944
12,506
"Marriage at Sea" hii ni tamaduni iliyoanza zamani kwa nchi za wenzetu ambapo wanandoa wanaruhusiwa kufunga ndoa baharini katika meli na wanafungishwa na nahodha pia ndoa hii utambulika kama ndoa zingine.

Haya ni baadhi ya mataifa yanayozitambua ndoa hizi.
1. Japan
Ndoa hii inatambulika kwa raia tu wale wa Japan au mwenye passport ya Japan.

2.Bermuda
Hivi ni visiwa vilivyosajili meli nyingi na wameruhusu na kutambua ndoa hii. Na hii upelekea meli zao nyingi za kitalii kutembelewa na wageni kwa ajili ya kufunga ndoa baharini.

3.Panama
Hawa ni moja kati ya nchi iliyosajili meli nyingi duniani ikiwamo zile za utalii. Na ndoa za baharini wameruhusu hivyo kufanya Cruise ship nyingi zisajiliwe Panama.

4.Ufilipino na Uhispania
Hawa wameruhusu kufanyika ndoa hizi endapo mmoja wapo kati ya mke au mme atakuwa kwenye hatari ya kifo.
Basi nahodha atafungisha ndoa hiyo haraka sana.

5.Uingereza
Nahodha hawakurusiwa kufungisha hizi ndoa ila kuanzia miaka ya 1854 walianza kufungisha ikabidi serikali itoe mamlaka ya kuwa kila ndoa itayofungishwa lazima iandikwe kwenye kitabu cha safari cha meli (Log book).

6. Marekani
Ndoa hizi hufanyika ndani ya mipaka ya nchi na baadhi ya mahakama zinakataa kuitambua ingawaje zipo kisheria.
Mwisho huwa wao huangalia sheria za nchi ya mmiliki wa meli zinasemaje kuhusu ndoa hizi ndipo maamuzi mengine huamuliwa.

Bahari ni utajiri usioisha.
 
mzee bahari naiogopa... unaweza funga ndoa na JINNI
 
Back
Top Bottom