Magari yako ya mafuta yamekuwa kero sana hasa jioni yakiwa yamepark na kuchukua sehemu kubwa sana ya barabara.
Kero hii inasababisha kutengeneza foleni kubwa sana kuanzia kituo cha Bucha mpaka Kimara mwusho, wengi wanadai hakuna mtu wa kukugusa.
Polisi wa barabarani nao wameshindwa kbs kutoa kero ya foleni kwa kuwadhibiti Bajaj na Daladala ambao wanagoma kuingia kwenye kituo chao na kishusha abiria matokeo yake wanashushia barabara kuu.