gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 13,030
- 16,060
Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu yaliyotengenezwa na kwa malighafi laini kuliko mifupa na minofu ya binadam ndiyo yaliharibiwa vibaya
https://www.timesofisrael.com/liveb...t-in-ashkelon-after-rocket-barrage-from-gaza/
Modes najua man hasira na G-55 ya chadema kumpinga lisu, lakini huu uzi msiuunganishe,uacheni tu kama mnavyoziacha nyuzi za echolima