T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,332 Reaction score 3,229 Sep 27, 2019 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Msanii aliyetamba miaka kadhaa ya nyuma Lawrence Malima (Marlaw) amerudi tena kwenye game baada ya kimya kirefu, kaachia wimbo" Taa" sasa kuna vijana wajiandae kwa changamoto anayoleta marlaw
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Msanii aliyetamba miaka kadhaa ya nyuma Lawrence Malima (Marlaw) amerudi tena kwenye game baada ya kimya kirefu, kaachia wimbo" Taa" sasa kuna vijana wajiandae kwa changamoto anayoleta marlaw
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,201 Sep 27, 2019 #2 Zama ikipita imepita