Marketing research Tanzania

Can you help me to be a worker , I have specialized on Geogarphy
 

Tafuta internet domain ulipie upate access ya email ya go.tz pamoja na website. Huwez kufanya kazi na watu serious Kwa kutumia e-mail ya gmail au yahoo. Pia nikupongeze kwa idea hii, consultation ni fursa inayohitaji mtaji mdogo lakini ina-impact kubwa katika kuleta suluhu ya matatizo na kuziba knowlege gaps kwenye eneo mahsusi ulilojikita. Nakuchek kwenye email yako
 
Asante ndugu, Karibu sana
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513] #0658357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima
 
Mkuu nikiomba kazi nitapata hapooo.... na elimu ya chini mtu anayopaswa kuwa nayo ili kupata kazi kwenu ni level ganiii
 
Matangazo ya hovyo sijui mnatumia Microsoft word kudesign?? Hata kutumia Adobe au kumlipa GD mnashindwa, kufanya kazi ndiyo mtaweza?
 
Happy Mapinduzi Day Zanzibar!
Happy 59th Zanzibar Revolution Day!
#TanzaniaMarketingResearch#
 
Welcome to work with us for Market Research and Social Research. #TanzaniaMarketingResearch
 
May the Grace of the Lord be with you and your loved ones on Good Friday.
 
Wenye uzoefu je hamuwahitaji hata kama hawana vyeti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…