Kwanini mkuu? Kwani unawajua hawa jamaa? Unahisi kuna kupigwa au?Wajinga ndio waliwao
Kivipi?Wajinga ndio waliwao
Maana hizi ninazotuma ni projects zote ambazo nimeshafanya na nyingine naendelea kufanya, pia Kampuni ipo kihalali na kisheria.Wajinga ndio waliwao
Penye wengi pana mengi Mkuu! Relax.Maana hizi ninazotuma ni projects zote ambazo nimeshafanya na nyingine naendelea kufanya, pia Kampuni ipo kihalali na kisheria.
Sijaandika kama naomba kuajili watu au laa!
Nimeweka kazi zangu ninazofanya. Why unaandika hivyo?
Asante ndugu, nitakutafuta nikihitaji kuongeza nguvu.Penye wengi pana mengi Mkuu! Relax.
Hata hivyo mi ndo mambo yangu hayo ya research activities tangu 2007, so vyote ulivyopost humu kwa uzoefu wangu sina shaka kabisa. Piga kazi Mkuu bna kama utahitaji kikosi kazi cha kuongeza nguvu ya data collection tuwasiliane.
Asante!Mkuu pambana
Naona umeongeza ajira
Habari!We kaka muajiri unaajiri lini maana kuna dogo amesema amekutafuta mda nacameleta cv ila bila bila