Marketing Manager Vacancy

ibu778792

New Member
Dec 20, 2016
3
45
Natafuta *Marketing Manager*
Reiza Investments tz ni Kampuni mpya inayojihusisha na kuongeza thamani products za kilimo ikiwemo mchele na Mafuta ya alizeti kwa kuhifadhi kwenye packages maalum na kusambaza kwenye *Supermarkets* ili kuwafikia watumiaji kwa urahisi zaidi..

Kwa sasa wateja wetu ni Shoppers Plaza, TSN na Target Supermarkets.

Kwahiyo tunahitaji *Marketing Manager* mwenye uzoefu wa angalau miaka miwili na uwezo wa kuextend soko letu kufikia watumiaji wengi zaidi.

Kwa mawasiliano: 0713-778792
Email: reizainvestmentstz@yahoo.com
 
Edward A chapa

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
694
1,000

Habari
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom