Marketing company

Marketing company

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
Habari,

ndugu zangu,baada ya kutoka masomoni ughaibuni niliajiriwa na kampuni moja ya marketing kwa miaka 2 ambapo nilijifunza mambo mengi.Kwa malengo niliyojiwekea ni kufanya nao miaka 2 then niwe na kampuni yangu mwenyewe yenye kufanya kazi kama hizo.

Tayari nimeshaandaa memorandum na article of association na nimeshampatia pesa mwanasheria kwa ajili ya kusajili,nategemea next week nitakuwa na documents zote.Natambua kwamba jukwaa hili lina watu wengi na wenye taalaum mbali mbali.

Naomba yeyote ambaye anaweza kazi za promotions,roadshows,merchandising na branding mnikumbe kwenye kazi,kama kawaida nitakuwa na percent nzuri kwa yoyote atakaye nipa kazi kulinga na makubaliano tutakayofanya.Na pia niko very commited na kazi nikiwa na ndoto ya kuifanya kampuni yangu kuongoza katika nyanja hiyo hapa bongo
 
Miaka miwili ni machache sana kukupa experience na network ya kutosha kurun kampuni yako mwenyewe.

Pili advertisers Tanzania ni wale wale..kampuni za simu, banks kidogo. 90 % ya mabango ni yao, 90 % ya vipindi vya radio na luninga wanadhamini wao.

So Industry uliyopo mtagombania mostly wateja wale wale. Ni vyema ukajipanga kimkakati. Nakutakia kila la kheri. Siyo rahisi lakini inawezekana.
 
Ingia kwenye burudani. Uwe unaandaa shows, game za kirafki(simba,yanga) kuna hela nyingi hapo.
 
Miaka miwili ni machache sana kukupa experience na network ya kutosha kurun kampuni yako mwenyewe.

Pili advertisers Tanzania ni wale wale..kampuni za simu, banks kidogo. 90 % ya mabango ni yao, 90 % ya vipindi vya radio na luninga wanadhamini wao.

So Industry uliyopo mtagombania mostly wateja wale wale. Ni vyema ukajipanga kimkakati. Nakutakia kila la kheri. Siyo rahisi lakini inawezekana.

Ulitaka aendelee kukaa huko alowee kwenye kuajiriwa?
Experience si yote inapatikana kwa kuajiriwa. Akianza mwenyewe ndo anapata experience kubwa zaidi kuliko ambavyo angeendelea kuajiriwa.
Angalizo tu, wala sigombani
 
Marketing kwenye hizi nchi zetu ambazo hazija endelea ni chaos tuu. Lakini still kuna room, especial kama unataka kudevelop marketing strategy kwa SMEs. Ushauri wangu ni moja kama unaweza jikite kwenye consultant on SMEs ili uweze kutengeneza record.

Simple example, kina mama wengi sana wanasindika vyakula bongo lakini product zao hazipo hata mwanza au morogoro, most zimejaa kwenye makabati ya wachaga Dar. Here is what you can do, help them to develop a roadmap for 5 years marketing strategy na hakikisha supermarkets zote kubwa zinataka product zao. How you do that? By develop a marketing strategy ambayo ni cost effective.

Biashara za kusema kwamba nipeni sijui mabango nitengeneze, au brochure au business card, unajichimbia shimo. Kama umesoma nje you understand marketing department is everyone game in the corporate.
 
nashukuru sana kwa michango yenu,ni mategemeo yangu kwamba ntazidi kupata mawazo zaidi
 
Nataka kuzi zambaza viperushi vya biashara .
Naomba unipe quote lakini iwe bei poa.
Nicheki - 0784768786
 
Back
Top Bottom