Tunawatangazia kuwa tunatafuta vijana wa masoko kuanzia form four na kundelea. Tutawapa asilimia 10 ya kila mteja mmoja utakayemleta. Chuo kinatoa kozi nyingi mno mbalimbali kama zifuatazo hivyo tunatafuta vijana tutakaowasapoti kupatikana kwa wateja. Kwa mawasiliano zaidi piga namba hapo chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.