Mark X (Silver) inauzwa

Mark X (Silver) inauzwa

gari ipo vizuri aisee.
Hizi gari ndani ni kama vile upo kwenye ndege,soft seats yaani raha tupu.
Sijutii kuwa nayo,
Ila tatizo lake ni moja tuu hizi gari,sijui ni kwangu peke yangu?

Tatizo gani mkuu
 
Mkuu hizi gari aise tatizo ni Wanawake.
Yaani ukimpa lift dem basi atakupa number bila kumuomba.
Yaani ni Super Magnetic Mchepuko,au sijui kwangu tu,duhhhh
Hahahahaaa., umetisha mkuu. Gari nzuri sana hii, mwenyewe naisukuma kwa kuwa huku nilikohamia barabara sio rafiki kabisa na sitaki kuinyanyua juu hii gari. Ila siku wakiturekebishia nitaja kuinunua tena.
 
Hahahahaaa., naomba radhi mkuu kwa wenye Mark X wote, hapo ni site mkuu kuna kaujenzi kanaendelea upande wa pili. Ila sio Tandale.
Machine iko vyema sana hii.
Unajua kujitekenya na kucheka mwenyewe we jamaaa.
 
vp gari umeshaiuza? na vp kwenye consumption ya mafuta inafika km ngapi kwa lita?
 
vp gari umeshaiuza? na vp kwenye consumption ya mafuta inafika km ngapi kwa lita?

Bado ipo mkuu, average kwa dar inafika hadi km 8.5 kwa Lita, ila kwa masafa marefu inaenda hadi km 13 per Lita. Hapa inategemea sana na uendeshaji wako.
 
Bado ipo mkuu, average kwa dar inafika hadi km 8.5 kwa Lita, ila kwa masafa marefu inaenda hadi km 13 per Lita. Hapa inategemea sana na uendeshaji wako.
hapa wamaanisha dar sababu ni folen mpaka ile 8.5 lts
 
unapunguza bei gani mmbimbonho ? niko karatu natarajia kurudi apo week ijayo
 
Mungu akusimamie ktk mauzo maana nilivyoona mark x inauzwa nikajua yule dalali maimunawar ili nchafue hali ya hewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom