NapigaNgumi
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 529
- 209
HaswaaaYoote magamba tu....!!! Lkn ukitafuta nafuu katika wagonjwa bora huyu kuliko Lowassa!!!

Baada ya matangazo ya Bunge Star tv Prof. Mark Mwandosya atakuwa Live akitangaza nia ya kugombea U-rais
Kesho tarehe 2, Fredrick Sumaye na yeye atakuwa Live.
Kwani JK. Alipona?
Mwandosya atuombe radhi kwa kuuza TTCL kwa bei ya kuku kwa rushwa ya kusomeshewa mtoto wake Afrika ya Kusini.
Baada ya matangazo ya Bunge Star tv Prof. Mark Mwandosya atakuwa Live akitangaza nia ya kugombea U-rais
Kesho tarehe 2, Fredrick Sumaye na yeye atakuwa Live.
Baada ya matangazo ya Bunge Star tv Prof. Mark Mwandosya atakuwa Live akitangaza nia ya kugombea U-rais
Kesho tarehe 2, Fredrick Sumaye na yeye atakuwa Live.
@ Mwandosya hana jipya.
leo mmepumzika kutoa updates.
nasikiliza akiongea redioni muda huu.
CCM HAINA WA KUIKOA MWAKA HUU.