Mark Mwandosia afunguka, soma busara 100%

Mark Mwandosia afunguka, soma busara 100%

Katika watu niliokua nawaheshimu ni pamoja na mkapa lakini kuanzia jana nilitangaza kumdharau siku zote za maisha yangu zilizobaki. Hovyo sana.. Ana hasira ukawa wakishika nchi watampeleka mahakamani kwa kuvunja katiba ya nchi na kufanya biashara akiwa madarakani na kumshitaki kwa kuanzisha migodi feki na mingine kujiuzia migodi kwa mgongo wa usalama wa taifa.
 
Kwa maneno aliyotoa Mkapa jana kwa kweli inabidi atafute muda na kuomba msamaha. Kuna ubaya gani mtu kuhama chama au kutoa maoni yako. Mbona Sumaye wala Lowassa hawaja wahi kutukana wenzao? Hivi mtu hutakiwi kuwa huru ktk kufanya jambo pasipo kuvunja sheria. Huu ulevi wa kupokezana madaraka ndio unawapa kiburi CCM na wakina Kikwete na Mkapa. Haya mambo yana mwisho haya.

Je, ni kweli sisi hatuko huru ? siasa zenu ziko wapi? Mpigeni dodoki basi/
 
Mimi kinachonisikitisha ni kikwete anachomfanyia mwenzake ingali alimsaidia kuingia ikulu. Matusi hapo wamevuka mipaka na kutoheshimiana sababu tu ya kutofautiana itikadi?
 
Bad mouth politizie. Ona sasa wanakimbililia kuokolewa na kura za Wakimbizi pembezoni baada ya kukosa staha kwa wazawa .
 
Hakuna mtu timamu anayeweza kukubaliana na kauli ya Mkapa.

Katukosea adabu na kwa kiburi chake hawezi kuomba msamaha.
 
Katika watu niliokua nawaheshimu ni pamoja na mkapa lakini kuanzia jana nilitangaza kumdharau siku zote za maisha yangu zilizobaki. Hovyo sana.. Ana hasira ukawa wakishika nchi watampeleka mahakamani kwa kuvunja katiba ya nchi na kufanya biashara akiwa madarakani na kumshitaki kwa kuanzisha migodi feki na mingine kujiuzia migodi kwa mgongo wa usalama wa taifa.

hapana UKAWA Ilikua zamani chini ya uongozi Dr.WPslaa ndio ilikuwa na moral authority ya kukemea mafisadi lakin sio hii ya sasa inayongozwa Fisadi Lowassa.

najua na nakujua unawachikia mafisadi, wewe si mnafiki kiasi cha kujinafikia mwenyewe.tuwapinge mafisadi popote watapowepo
tuzitendee kauri zetu za kupinga ufisadi kwa vitendo tuiyunge mkono ACT wazalendo

Twende na mama ikulu
tuchague ACT wazalendo October 25
 
yani tumekalia kujadili kitu ambacho hakikutumia hata dakika tano kuongelewa tunaacha kujadili mambo ya msingi yaliyokula zaidi ya dakika 240 za ule mkutano,,, nchi yangu TANZANIA,, umepatwa na nini, mbona watoto wako wamekua watu wa matukio mepesi sana?
 
Back
Top Bottom