Mark Mwandosia afunguka, soma busara 100%

Mark Mwandosia afunguka, soma busara 100%

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
11228037_1675570456020718_6635438322737743274_n.jpg
 
Kwa maneno aliyotoa Mkapa jana kwa kweli inabidi atafute muda na kuomba msamaha. Kuna ubaya gani mtu kuhama chama au kutoa maoni yako. Mbona Sumaye wala Lowassa hawaja wahi kutukana wenzao? Hivi mtu hutakiwi kuwa huru ktk kufanya jambo pasipo kuvunja sheria. Huu ulevi wa kupokezana madaraka ndio unawapa kiburi CCM na wakina Kikwete na Mkapa. Haya mambo yana mwisho haya.
 
..prof ahamie ukawa tu.

..anapoteza muda na nguvu zake kuwausia ccm.

..he is living in denial akiamini kwamba ccm inafuata misingi aliyoiacha BABA WA TAIFA.
 
Kwa maneno aliyotoa Mkapa jana kwa kweli inabidi atafute muda na kuomba msamaha. Kuna ubaya gani mtu kuhama chama au kutoa maoni yako. Mbona Sumaye wala Lowassa hawaja wahi kutukana wenzao? Hivi mtu hutakiwi kuwa huru ktk kufanya jambo pasipo kuvunja sheria. Huu ulevi wa kupokezana madaraka ndio unawapa kiburi CCM na wakina Kikwete na Mkapa. Haya mambo yana mwisho haya.
Halafu wakatoliki wanamkimbilia muovu! Hilo hawalioni mapadre na maaskofu wa kikatoliki.
 
Tumeshamsamehe hajui atendalo!
Sidhani kama Mkapa au Kikwete wanalinganishwa nguvu zao na watu kama Gadafi na Sadam,la hasha lakini leo hii wako wapi baada ya nguvu ya umma kuchukua mkondo wake!
Hivi jana ndio nimegundua kuwa Tanzania tumekuwa tunatawaliwa na watu wasio na busara.
 
Ben ni mpumbavu na lofa...ameanzisha siasa za matusi sasa akae mkao wa kutukanwa..mpumbavu mkubwa limenenepeana kama mjamzito
 
Jana Mkapa na Makongoro walipiga pegi na mwingine kinibu kabla ya kwenda jangwani!
 
Mpumbavu ni yeye aliyekua anapigwa na mama anna kila kukicha mpaka linateguliwa mguu.
 
Prof. Mwandosya... hamia UKAWA banaa...

Unaumiaaaa ya nn..!? Njoo hukuuu
 
Nasikitika kama ni kweli watu walikamua kabla ya kufokafoka jukwaani
 
Napenda sana maandishi ya Mark toka alivyomjibu zitto maandishi yake ni falsafa iliyo kuu nasikia ametoa kitabu"Abridge on river Nile ningependa mnisaidie nadhani kitakuwa na busara nyingi sana. Inashangaza mzee kama huyu kuitwa kapi mbele ya kina mwigulu-tubakie kuomba na kumsifu mungu wetu
 
Kauli ndio kitu pekee kilicho katikati ya nafsi na mwili! Ukitaka jambo zuri sema vizuri na ukitaka baya sema vibaya!
 
Ben ni mpumbavu na lofa...ameanzisha siasa za matusi sasa akae mkao wa kutukanwa..mpumbavu mkubwa limenenepeana kama mjamzito

Ndiyo maana lilipigwa na da ana. eti lilimwambia kikwete ampe kiroba kwanza lizimue ili lisione aibu mcxxxxeuuu lina maneno ya shombo hilii.
 
Back
Top Bottom