Haaaaaaaaaaaa!Nyonya damu hilo kakate screpa mdau
Hakatwi mtu hapo. 2.4L saloon c bora ingekuwa ya juu kidogo na 4×4 hivi. Bora ulipeleke mikoani hawajui maana ya 2.4L
cc2400 six cylinders ndo hiyo mashine...meli hiyoMmmh! cc2400 si haba!
Nyonya damu hilo kakate screpa mdau
Hakatwi mtu hapo. 2.4L saloon c bora ingekuwa ya juu kidogo na 4×4 hivi. Bora ulipeleke mikoani hawajui maana ya 2.4L
cc2400 six cylinders ndo hiyo mashine...meli hiyo
2003
1980cc
105000km
Gari bado mpya
Sport rims
TV/Radio
New tyres
Haina tatizo lolote
Bei 8mil
Plate no. CDK
0716398757
Serious buyers only maana siku watu wa mizaa wamekua wengi.
Nyi hapo juu, mbona mmekuwa negative sana?
Msimharibie mwenzenu biashara yake, kama sio wanunuzi nadhani mngepita kimya kimya! Kama nyi hamna uwezo wa kulihudumia basi wapo walio na uwezo huo!
Nunua ww uone sebene lake la twanga lile la dk 40 halioni ndani kudadadeki
Hizi mashine nazipenda tu zinavyotulia barabarani haswa ukiwa wasafiri mkoa hadi mkoa....utaipenda!!!
Usikariri ndugu. Ongea kwa uzoefu, sio kusikia kwenye vijiwe vya kahawa. Nina Toyota Mark II Cresta JZX 100 (2002) yenye Cc hizo hizo 2500, sijaona shida yoyote mpaka sasa kwenye matumizi ya mafuta. Huu ni mwaka wa tano inadunda mzigo. Injini ya hii Mark II inayotangazwa na hii yangu ni hiyo hiyo 1G. Usiseme TWAFA, sema NAFA.
Ujui magari ww na ujanja wote unanunua gari yenye injini ya jzx inaonesha walikufunika subiri likutokee puani cku 1 ndo utalijua kwa taarifa yako mi grande mark ya 2003 regalia cc 1980 mwaka 4 huu achana na hlo nina grade 1 ya mv machanics na grade 2 ya umeme wa magari kwa hyo najua vyote ila cwez kuandika ukihitaji ufafanuzi ni pm nikutoe ushamba kisomi