Mark II Grand 110 for sale in Arusha

Mark II Grand 110 for sale in Arusha

Mtoka Mbali

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
237
Reaction score
26
Gari hii iko katika hali nzuri sana na ina miezi 9 tu nchini:

Make - Toyota Mark II
Eng - 1980 cc
Mileage - 71,000
Year - 2002

Kwa maelezo zaidi nitumie email kupitia vandevert99@gmail.com au PM hapa hapa.
 

Attachments

  • Grand 110.jpg
    Grand 110.jpg
    493.2 KB · Views: 296
  • Grand. 110.jpg
    Grand. 110.jpg
    492.1 KB · Views: 246
Kama ulivyoweza kutuma details za gari ulitakiwa uweke bei na namba zako za simu..... sio kila mtu ana access ya E -mail
 
Wabongo kwenye kutangazo tupo ovyo kweli, bei inakuwa kama siri.
 
Samahani sikuweka bei.
Hii gari nauza Tshs 10 Milion.

Asanten
 
Back
Top Bottom