Mark Antony namfananisha na Nape

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,796
31,809
BY WILLIAM SHAKESPEARE

(from Julius Caesar, spoken by Marc Antony)

Friends, Romans, countrymen, lend me your ears;

I come to bury Caesar, not to praise him.

The evil that men do lives after them;

The good is oft interred with their bones;

So let it be with Caesar. The noble Brutus

Hath told you Caesar was ambitious:

If it were so, it was a grievous fault,

And grievously hath Caesar answer’d it.

Here, under leave of Brutus and the rest–

For Brutus is an honourable man;

So are they all, all honourable men–

Come I to speak in Caesar’s funeral.

He was my friend, faithful and just to me:

But Brutus says he was ambitious;

And Brutus is an honourable man.

He hath brought many captives home to Rome

Whose ransoms did the general coffers fill:

Did this in Caesar seem ambitious?

When that the poor have cried, Caesar hath wept:

Ambition should be made of sterner stuff:

Yet Brutus says he was ambitious;

And Brutus is an honourable man.

You all did see that on the Lupercal

I thrice presented him a kingly crown,

Which he did thrice refuse: was this ambition?

Yet Brutus says he was ambitious;

And, sure, he is an honourable man.

I speak not to disprove what Brutus spoke,

But here I am to speak what I do know.

You all did love him once, not without cause:

What cause withholds you then, to mourn for him?

O judgment! thou art fled to brutish beasts,

And men have lost their reason. Bear with me;

My heart is in the coffin there with Caesar,

And I must pause till it come back to me.

Hotuba hii ndiyo iliyowageuza watu wakamchukia Brutus na genge lake la wasaliti...Mark Antony anamsifia Brutus tena akirejea na kurejea kuwa, ‘’Brutus ni mtu mwenye heshima,’’ na hapo hapo Mark Antony anamsifia Julius Caesar kuwa,
‘’hakuwa mtaka cheo.’’

Sasa pita katikati ya mistari ya Nape…Ah! ndugu zangu Nape ni ''Mark Antony Nape,'' Anarudia na kurejea, ''Rais wangu...'' na mengine...

Sasa ukimsikiliza Mark Antony Nape unachomwa na roho unaona kaonewa pasi na sababu...katolewa bastola pasi na sababu.

Unaungana na wale watu wa Roma.

Unataka sasa kumfurusha Brutus na genge lake.

Mwalimu Nyerere aliwaonya CCM kuhusu Prof. Malima akawaambia wasithubutu kumfukuza chama Prof. Malima kwa kuonya kuhusu hali ya Waislam katika elimu Tanzania.

Alichofanya Mwalimu aliwakaripia Maaskofu akawaambia kuwa wasidhani watakuwa wanapata kila kitu kila siku wamedekezwa sana hawa...

Kibao akakigeuza ''spot light,'' ikatoka kwa Malima ikawa inawawakia Maaskofu.

Prof. Malima ghafla akawa si ''issue,'' tena ingawa watu waliingia na moto Dodoma Malima afukuwe CCM.

Nyerere katika kikao kile akalifokea sana Kanisa.

Mpashaji wangu habari akanambia, ''Bwana mdogo usicheze na Nyerere huyu si mtu wa kawaida anayasikia maneno yako kabla hayajatoka kifuani kwako.’’

Laiti Malima angelifukuzwa CCM kwa kuionya serkali kwa ajili ya dhulma dhidi ya Waislam balaa lake lingekuwa kubwa.

Hii ilikuwa 1987.

Prof. Malima alikuwa Waziri wa Elimu.

Niwieni radhi nimekwenda mbali tulikuwa na Mark Antony Nape...
 
Ngoja nisubiri wakati wakalimani wa sizonje wanamtafisiria maana ya maneno hayo na mimi nisikilize ili nichangie maoni yangu
 
Mark Anthony hawezi kuwa Nape mkuu, Nape amepingana na kiongozi wake magufuli ambaye kwa huu mfananisho atakuwa ndiye Julius Caesar wakati Mark Anthony alikuwa upande wa Caesar.
Naona umefaninisha vitu viwili ambavyo haviendani
Nucky,
Umefanya haraka.

Labda nikurejesha mwanzo wa mchezo pale askari wanawafukuza
wananchi barabarani waliokuja kumpokea Caesar...

Mimi niko tena barabarani na Marc Antony Nape kaja kusikilizwa na
waliokuja kumsikiliza wanafukuzwa.

Mimi natembea na maneno ya kugeuza ya Marc Antony.

Mimi niko katika maneno ya kugeuza ya Marc Antony Nape.
Huko unakotaka kuniingiza mie siko huko.

Ningetaka hayo ningekwenda kwa Macbeth.
Nadhani unajua Macbeth aliupata vipi ufalme.

Wewe ndiye unafananisha vitu sivyo.
 
Mkuu tafadhali turudishe kwa Mark Anthony Nape
Mlanga,
Mimi nimekuwekea Marc Antony Nape na uhodari wake wa
kuchagua maneno na kupita katikakati ya mistari miwili sasa
tusaidiane kujua anatuambia nini?

Marc Antony Nape kafunua kawa kwenye chano sasa kila mtu
anajua kilichokuwa ndani.

Ingawa chano cha kupunga kinajulikana nini kipo ndani lakini
Nape kayaweka mambo barazani mchana wa saa saba.

Clouds zilikuwa bunduki.
Protea zimetolewa bastola.

Kama vile watu walopigwa kipapai hawajijui.

Mtume SAW katuasa kuhusu silaha kasema usemwelekezee mtu
anaweza shetani akaichukua.

Mungu amejaalia salama.
Angetokea mtu akapiga kelele, "Majambazi yamemvamia Nape!"

Viongozi wetu watulize akili zao wafikiri kwa makini huu mwendo
hauna tija.

Mmarekani mwizi akiwa anavunja mlango wake akisikia anakimbilia
chumbani kuchukua bastola au bunduki kisha anapiga.

Muingereza yeye atakimbilia simu kuita polisi.
Mtanzani hana asili ya kutumia silaha si bastola wala bunduki.

Warudi kwenye tatizo la vyeti na ukweli ufahamike.
Hii ni kesi ya jinai ikiwa pana ukweli.

Marc Antony Nape kaumwaga mtama na jogoo kaingia kudonyoa
na kakamatwa...
 
Umeniacha hoi bin taaban, balagha, swarf, mantik na vyenginevyo umeua.
 
Nucky,
Umefanya haraka.

Labda nikurejesha mwanzo wa mchezo pale askari wanawafukuza
wananchi barabarani waliokuja kumpokea Caesar...

Mimi niko tena barabarani na Marc Antony Nape kaja kusikilizwa na
waliokuja kumsikiliza wanafukuzwa.

Mimi natembea na maneno ya kugeuza ya Marc Antony.

Mimi niko katika maneno ya kugeuza ya Marc Antony Nape.
Huko unakotaka kuniingiza mie siko huko.

Ningetaka hayo ningekwenda kwa Macbeth.
Nadhani unajua Macbeth aliupata vipi ufalme.

Wewe ndiye unafananisha vitu sivyo.
Shukrani kwa ufafanuzi mkuu
 
ni E tu Brute!... maana yake Even you Brutus!
Nucky...
Marc Anthony
katika ile hotuba yake mbele ya jeneza alipomfunua
Caesar akawaonyesha wananchi jeraha la upanga wa Brutus...

Mark Anthony Nape na yeye kakumbusha shida alizopata kukitafutia
ushindi chama chake...

Hilo ndilo jeraha lake alofunua kuwaonyesha waliokuwa wanamsikikiliza.
 
Nucky,
Marc Anthony katika ile hotuba yake mbele ya jeneza alipomfunua Caesar akawaonyesha wananchi jeraha la upanga wa Brutus...

Mark Anthony Nape na yeye kakumbusha shida alizopata kukitafutia ushindi chama chake...

Hilo ndilo jeraha lake alofunua kuwaonyesha waliokuwa wanamsikikiliza.
 
Nucky,
Marc Anthony katika ile hotuba yake mbele ya jeneza alipomfunua Caesar akawaonyesha wananchi jeraha la upanga wa Brutus...

Mark Anthony Nape na yeye kakumbusha shida alizopata kukitafutia ushindi chama chake...

Hilo ndilo jeraha lake alofunua kuwaonyesha waliokuwa wanamsikikiliza.
 
Nucky,
Marc Anthony katika ile hotuba yake mbele ya jeneza alipomfunua Caesar akawaonyesha wananchi jeraha la upanga wa Brutus...

Mark Anthony Nape na yeye kakumbusha shida alizopata kukitafutia ushindi chama chake...

Hilo ndilo jeraha lake alofunua kuwaonyesha waliokuwa wanamsikikiliza.
 
BY WILLIAM SHAKESPEARE

(from Julius Caesar, spoken by Marc Antony)

Friends, Romans, countrymen, lend me your ears;

I come to bury Caesar, not to praise him.

The evil that men do lives after them;

The good is oft interred with their bones;

So let it be with Caesar. The noble Brutus

Hath told you Caesar was ambitious:

If it were so, it was a grievous fault,

And grievously hath Caesar answer’d it.

Here, under leave of Brutus and the rest–

For Brutus is an honourable man;

So are they all, all honourable men–

Come I to speak in Caesar’s funeral.

He was my friend, faithful and just to me:

But Brutus says he was ambitious;

And Brutus is an honourable man.

He hath brought many captives home to Rome

Whose ransoms did the general coffers fill:

Did this in Caesar seem ambitious?

When that the poor have cried, Caesar hath wept:

Ambition should be made of sterner stuff:

Yet Brutus says he was ambitious;

And Brutus is an honourable man.

You all did see that on the Lupercal

I thrice presented him a kingly crown,

Which he did thrice refuse: was this ambition?

Yet Brutus says he was ambitious;

And, sure, he is an honourable man.

I speak not to disprove what Brutus spoke,

But here I am to speak what I do know.

You all did love him once, not without cause:

What cause withholds you then, to mourn for him?

O judgment! thou art fled to brutish beasts,

And men have lost their reason. Bear with me;

My heart is in the coffin there with Caesar,

And I must pause till it come back to me.

Hotuba hii ndiyo iliyowageuza watu wakamchukia Brutus na genge lake la wasaliti...Mark Antony anamsifia Brutus tena akirejea na kurejea kuwa, ‘’Brutus ni mtu mwenye heshima,’’ na hapo hapo Mark Antony anamsifia Julius Caesar kuwa,
‘’hakuwa mtaka cheo.’’

Sasa pita katikati ya mistari ya Nape…Ah! ndugu zangu Nape ni ''Mark Antony Nape,'' Anarudia na kurejea, ''Rais wangu...'' na mengine...

Sasa ukimsikiliza Mark Antony Nape unachomwa na roho unaona kaonewa pasi na sababu...katolewa bastola pasi na sababu.

Unaungana na wale watu wa Roma.

Unataka sasa kumfurusha Brutus na genge lake.

Mwalimu Nyerere aliwaonya CCM kuhusu Prof. Malima akawaambia wasithubutu kumfukuza chama Prof. Malima kwa kuonya kuhusu hali ya Waislam katika elimu Tanzania.

Alichofanya Mwalimu aliwakaripia Maaskofu akawaambia kuwa wasidhani watakuwa wanapata kila kitu kila siku wamedekezwa sana hawa...

Kibao akakigeuza ''spot light,'' ikatoka kwa Malima ikawa inawawakia Maaskofu.

Prof. Malima ghafla akawa si ''issue,'' tena ingawa watu waliingia na moto Dodoma Malima afukuwe CCM.

Nyerere katika kikao kile akalifokea sana Kanisa.

Mpashaji wangu habari akanambia, ''Bwana mdogo usicheze na Nyerere huyu si mtu wa kawaida anayasikia maneno yako kabla hayajatoka kifuani kwako.’’

Laiti Malima angelifukuzwa CCM kwa kuionya serkali kwa ajili ya dhulma dhidi ya Waislam balaa lake lingekuwa kubwa.

Hii ilikuwa 1987.

Prof. Malima alikuwa Waziri wa Elimu.

Niwieni radhi nimekwenda mbali tulikuwa na Mark Antony Nape...

Kwanza Nina swali Nape Nnauye ni Muislamu au Mkristo?
 
Back
Top Bottom