Mwisho alivyochoka akasema ' uncle just give me any medicine with a latrine inside'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Combatrin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Video zao karibu zote nimeangalia ila hii nadhani sijaionakuna ile ya Ngwaa ngwaa ngwaa ngwaaaaaaaaa,
nikiwa down naiweka nacheka sanaaaaa.
Video zao karibu zote nimeangalia ila hii nadhani sijaiona