Marital Status

Marital Status

pole sana brian wewe ni mjane?
Machungu ya kufiwa ndugu yanauma sana! Nayaelewa. To be divorced nako Kuna changanya sana sometimes hadi thaman yako kama Mwanamke inashuka. kama umetalikiwa.
nimesema hvo kushukuru kua hayo hayajakupata.
sorry Amu
 
Ila kuna watu wengine wanapata majaribu mapema sana, yaani hujafika hata miaka 30 umepewa talaka??
Inanikumbusha wanawake na wasichana wa mikoa ya Mtwara na Lindi, yaani ni kawaida kumkuta mwanamke hajafika miaka 30 lakini tayari ana ndoa 4 mpaka 5😀😀😀😀😀😀😀
 
Nsamehe,kiswahili hiki wengine hata hatujielewi kiswahili neihe,kizungu neihe
Me ni Me
si mgane.
Ni kijana tu bado sijaishi maisha ya ndoa
 
Ukweli utakuweka huru siku zote.

Haiwezekani mtu akawa mjane then hapo hapo akawa divorced kwa wakati mmoja. kama alikufa ukiwa bado kwenye ndoa, andika mjane. kama mliachana kabla ya mauti kumkuta andika divorced.

Vipi kama aliolewa/oa zaidi ya mara moja, spouse wa ndoa ya kwanza kafa na wa ndoa ya pili ameachana na sasa anaishi na mwingine kinyumba? 🤨
 
Vipi kama aliolewa/oa zaidi ya mara moja, spouse wa ndoa ya kwanza kafa na wa ndoa ya pili ameachana na sasa anaishi na mwingine kinyumba? 🤨

Kitendo cha kuolewa mara ya pili kinaondoa ujane, baada ya kuondoka mume wa kwanza na kuolewa tena hawezi itwa mjane ilhali mume wa pili aliyemuoa yupo hai hata kama wameachana. Atakuwa mtalaka tu.

Yani haiwezekani mtu kuwa kwenye ndoa na kuwa single wakati mmoja eti kisa mwanzoni alikuwa single

Sijui umenielewa
 
Last edited:
Back
Top Bottom