Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,337
- 93,995
Wewe umeelewa sanaaaa .. Yaaan umeelewa !! .Ujue nini,ndo maana naipenda jf,kitu kinachambuliwa kama vile anavyopasuliwa kuku,huu mchango mzuri sana,kumbe ndo maana wadada wengi wakifiwa hawachukui mda wanaolewa tena
Sasa kazi nikwako Dear