kubadilika anaweza mkuu, mbona kwenye chibonge alifanya poa sana.Wakati mwingine si kila mtu anaweza fanya kila kitu.. kumlazimisha kufanya unachotaka kusikia anaweza kuja kufanya kituko na mkasema jamaa kaishiwa .. afanye tuu kolabo kubadilisha radha