Mario Gomez - Appreciation!

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,555
leo gomez kaonesha kuwa kufunga magoli zaidi ya matatu katika mechi moja inawezekani ni baada ya kushusha kisago kwa wababe wa manure, fc baseball.. bayern kashinda 7 bila..

yeye katika uefa msimu huu ana magoli kumi..
 
Msimu huu kama wewe ni striker halafu hujafunga hat-trick basi una matatizo
 
nakuona we kenge wa man city unavyojifariji!

huyu jamaa hata ukiwaufuatilii bundas jamaa anajua kufunga na ndio anamfutia mesi kwa hiyo wewe mchimba chumvi utakufa nalo..
kheee kheee kheeee na bado...
 
Back
Top Bottom