Mario Balotelli Ana Kosa Gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mario Balotelli Ana Kosa Gani?

Discussion in 'Sports' started by Companero, Jul 27, 2011.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  laana ya wazazi, si amewakana huyu, soon asipoangalia ata run mental. ssa pale ndo alikuwa anacheza nini
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wazazi ndio waliomkana/waliomtosa kwanza
   
 4. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,491
  Trophy Points: 280
  Kijana kichwa chake sio kizuri. Ana kipaji, lakini hawezi kupata mafanikio kwa sababu ya kiburi. Kama alifikiri ameotea, haikuwa na haja ya kumwonyesha jeuri kocha wake alipotolewa nje-alionekana kama anamjibu vibaya kocha wake kwa kurusha mikono. Huwezi kufanikiwa ktk jambo lolote kama una jeuri ya Balotelli.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,972
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Kufanya hivyo ni kuukosea heshima mchezo wa soka,vinginevyo ni bangi zake huyo.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hizi ni issue ambazo ukifanikiwa unaonekana Genius; Usipofanikiwa unaoneka Mpuuzi
   
Loading...