Marine Engineering vs Mechanical Engineering

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
habar wakuu?
Naomba mwenye uulewa na haya mambo anifahamishe kwani nataka kuanza ngaz ya DIPLOMA katika koz mojawapo hapo

msaada wakuu
 
Kama kichwa chako kipo vzur kwenye namba na physics bas fanya mechanical,ni bonge ya course but ni mziki mnene inahitaji msuli
 
kasome mechanical engineering kwani marine ipo ndani ya mechanical, wasikutishe katika kozi rahisi duniani mechanical engineering inaongoza, Mimi nimesoma mechanical engineering kuanzia GCE FTC mpaka Bsc in Mechanical na sikusumbuka hata kidogo
 
Mbona nackia mechanica haina soko! Kuna ukweli hapo mkuu?
 
mechanical ya kawaoda sana kama inapenda Engineering piga civil au electrical ndio zko marketable now
 
Nenda D.M.I kachukue marine engineering,uzuri wake hata kama hukupata kazi ya meli migodini utapiga mzigo kama kawa.
 
kasome mechanical engineering kwani marine ipo ndani ya mechanical, wasikutishe katika kozi rahisi duniani mechanical engineering inaongoza, Mimi nimesoma mechanical engineering kuanzia GCE FTC mpaka Bsc in Mechanical na sikusumbuka hata kidogo

shukran mkuu kwa mawazo yako mazur. nataka kujaribu kuomba NIT pale unapafahamu vp na mazingira ya koz hii ya Mechanical?
 
Kwa diploma ya mechanical DIT is the best NIT wako vizuri kwenye Automotive, pia Arusha tech nao wako njema kwenye Automotive,
 
Mechanical engineering haipo ndani ya marine engineering.
Ila ndani ya Marine engineering ipo mechanical engineering.
Ukisoma Marine engineering unasoma operations, construction, mainatanace na associates .
Mfano low speed engine tunaita direct coupled engine ,ukisoma mechanical engineering huwezi soma aina hizi za engine.
Ili upate kuzioperate hizi engine lazima ujuecostructinal yake, sio ktk kila weather inawashwa hizo huwezi jua ktk mechanical engineering.
Mafuta yanayotumika huwa yanachujwa ,jinsi ya kuchujwa huwezi jua ktk mechanical engineering.
Na mafuta ktk kuchujwa kuna vitu Kama boilers ,huwezi jua boiler ktk mechanical engineering, kuna purifier,cralifier hivi ktk mechanical engineering hakuna.
Ktk Marine engineering unafundishwa Umeme ambaounatumika ktk maeneo mbali mbali ambao ni tofauti na Umeme wa kawaida, hii elimu huwezi pata ktk mechanical engineering.
Ktk marine engineer ing kuna baadhi ya vifaa hutumikaji wake ilivioperatelzm viwashwe masaa 24kabla ya kutumika hii huwezi pata ktk mechanical engineering. Kuna vifaa vingi utasoma vya electronic vitu hivi huwezi soma ktk mechanical engineering.
Water management and treatment and production huwezi pata ktk mechanical engineering
 
kasome mechanical engineering kwani marine ipo ndani ya mechanical, wasikutishe katika kozi rahisi duniani mechanical engineering inaongoza, Mimi nimesoma mechanical engineering kuanzia GCE FTC mpaka Bsc in Mechanical na sikusumbuka hata kidogo
Marine engineer iko ndani ya mechanical?
Toa maelezo.
Wacha kupotosha jamii.
 
karibu mechanical mkuu uje uwe technician wangu
 
Mechanical engineering haipo ndani ya marine engineering.
Ila ndani ya Marine engineering ipo mechanical engineering.
Ukisoma Marine engineering unasoma operations, construction, mainatanace na associates .
Mfano low speed engine tunaita direct coupled engine ,ukisoma mechanical engineering huwezi soma aina hizi za engine.
Ili upate kuzioperate hizi engine lazima ujuecostructinal yake, sio ktk kila weather inawashwa hizo huwezi jua ktk mechanical engineering.
Mafuta yanayotumika huwa yanachujwa ,jinsi ya kuchujwa huwezi jua ktk mechanical engineering.
Na mafuta ktk kuchujwa kuna vitu Kama boilers ,huwezi jua boiler ktk mechanical engineering, kuna purifier,cralifier hivi ktk mechanical engineering hakuna.
Ktk Marine engineering unafundishwa Umeme ambaounatumika ktk maeneo mbali mbali ambao ni tofauti na Umeme wa kawaida, hii elimu huwezi pata ktk mechanical engineering.
Ktk marine engineer ing kuna baadhi ya vifaa hutumikaji wake ilivioperatelzm viwashwe masaa 24kabla ya kutumika hii huwezi pata ktk mechanical engineering. Kuna vifaa vingi utasoma vya electronic vitu hivi huwezi soma ktk mechanical engineering.
Water management and treatment and production huwezi pata ktk mechanical engineering
mechanical is the mother of engineering acha kumdanganya dogo
 
Back
Top Bottom